Vikosi Tarajiwa Jumapili Mechidei 29
Mwanakabumbu machachari sana Erling Haaland hategemewi kuwepo wakati Borussia Dortmund wanamvaa Paderborn kutokana na majeraha ya goti.
Meridianbet inaangalia vikosi vinavyotarajiwa kuwepo mwisho wa wiki hii baada ya mechi za jana kumalizika…
Mechi zote zinaanza saa 10.30 jioni isipokuwa pale inapotajwa tofauti na hivyo.
Jumapili, Mei 31
Borussia Mönchengladbach vs. Union Berlin
Gladbach: Sommer – Lainer, Ginter, Elvedi, Bensebaini – Kramer, Nauhaus – Hofmann, Stindl (c), Thuram – Plea
Nje: Jantschke (amezuiwa), Johnson (misuli), Strobl (hamstring), Zakaria (goti)
Anayehofiwa: Embolo (ugoko)
Kocha: Marco Rose
Union: Gikiewicz – Friedrich, Schlotterbeck, Subotic – Trimmel (c), Gentner, Prömel, Lenz – Ingvartsen, Bülter – Andersson
Nje: Andrich (amezuiwa), Becker (paja), Gogia (hayupo fiti)
Anayehofiwa: –
Kocha: Urs Fischer
Paderborn vs. Borussia Dortmund (mechi inaanza saa: 1 usiku)
Paderborn: Zingerle – Dräger, Hunemeier, Schonlau (c), Collins – Holtmann, Ritter, Vasiliadis, Antwi-Adjei – Srbeny, Mamba
Nje: Gjasula (amezuiwa)
Anayehofiwa: Kilian (hayupo fiti)
Kocha: Steffen Baumgart
Dortmund: Bürki, Piszczek (c), Hummels, Akanji – Hakimi, Dahoud, Can, Guerreiro – Brandt, Hazard, Sancho
Nje: Haaland (goti), Reus (paja), Schulz (misuli), Zagadou (goti)
Anayehofiwa: –
Kocha: Lucien Favre
Theckla
Dortmund anashinda
Salma
Patachimbika
Emmy cleopa
Dortmund winner
Ernest
Kazi ipo hapa
Evaluziga
Patachimbika leo so mchezo
felister
izo game zote ngumu apo
Neema juma
Kwa kweli patakuwa hapatoshi leo.
Frank Patrick
Tukae na Borussia zote leo
mathayo sonje
kumekucha na meridianbet, maana hizi mechi ni mfurulizo wa ligi zinazoendelea.
Hope mwaikuka
Mtanange wa kufa mtu
Antony Luseno
Kwa ufafanuzi huu subiri tuone dakika tisini
Christopher
Haaland kashaanza majeruhi sasa, asje akawa kama Gotze
aisha
Dortmund mkali
Agness
Kitawaka uwanjani
Ester jackson
Asante meridian mnatuhabarisha kabla mtanange haujaaza inakuwa powa sana
Tahiya
Mchezaji wa dortmund sancho lazima atikise nyavu ya wapinzani wake
mwakalosi
hapa naisubiri game Dortmund ndio game kubwa leo maana Mwanaume munich jana kampa mtu mkono mmoja sasa Dortmund yeye atoe week
Rehema Dickson
Dortmund anashinda
Khadija
hapo mbona itakuwa hatari sana#meridianbettz
Hamidu
Mechi za Leo zote Kali
Tusubil dk 90.
Neema hassan
Mtanange wa hatari
Samiah
Ktawaka leo mechi zote kali
Elika
Leo hapatoshi.viwanja vimenoga leo
Mwanaidi
Mech zote ni kali
Asha
Dortmund win
Mwajuma
Leo patachimbika mechi zote kali
Zeiyana
Dortmund bila ya hazard sijui itakuaje
dorophina
Mechi za kibabe mpaka kieleweke
Swai
Ratibaa imepangika vizuri hapa namngoja Dortmund tu
Aziza mushi
Dortmnd lazma ashinde
Caroline
Ivi vikosi sijavielewa
Povel
Game zote weka gg thnks meridian kwa update
Kenani
Ni vikosi maridhawa
Lombo
mda si mref mambo yatakuwa mazur
Genia Sikaluzwe
Mechi nyingi mikeka pia mingi, asanteni meridianbet kwa kutujali wateja wenu
Shafii
Iko poa hiyo
David pere
Union Berlin wapo vizuri Sana
winfrida
Pole sana Erling iyo ni ajali kazini
Mariam mtandama
Mechi zote kali
Amani
Kazi ipo hapa #meridianbettz
Fatina mfingi
Asnteh kwa taarifa