Vilabu vya Ligi Kuu wameambiwa watatumia viwanja 10 katika mchakato wa kumalizia mechi zilizosalia ili kumaliza msimu
Brighton imesema “sio sawa” kutumia viwanja vingine kwasababu inaweza kuharibu ubora wa Ligi.
Klabu zilizopo nafasi za chini kwenye msimamo wanahisi sio sawa kucheza mazingira tofauti wakiwa kwenye hatari ya kushuka daraja.
Brighton & Hove Albion, Bournemouth, Watford, West Ham na Norwich City ni moja ya vilabu vinavyopinga mpango wa kutumia viwanja hivyo.
Japo Arsenal, Aston Villa, Chelsea, Crystal Palace, Everton, Manchester City, Manchester United, Newcastle United na Liverpool wamekubaliana na muswada huo.
Vilabu vingi vya Premier League wapo tayari kucheza mechi zilizosalia kwenye viwanja hivyo ikiwa tu hakuna timu itakayoshuka daraja.
Premier League inahofia vilabu sita au saba ndio ambao vinapiga mpango huo wakutumia viwanja hivyo. Lakini bado kuna mvutano kwenye kundi hili ni namna gani ligi ianweza kumalizika.
Kutumika kwa viwanja neutral zinahitajika kura 14 kati ya vilabu 20 ili kutumika katika kumalizia mechi zilizosalia.
Mwajuma
Nisawa tu chamuhimu ligi irudi
Theckla
Wafikie muafaka tu
Salma
Waache uoga wakubaliane
Tahiya
Ligi ikirud itakuwa Poaw
Furahav
Sawa tu.
Dorophina
Wakubaliane hili ligi irudi maana tumemisi
Hopemwaikux
Fresh tu
Amani
Malidhiano ndo Jambo jema
Mariam
Vizur
felister
wakae wakubaliane wafikie muafaka
Lombo
viwanja vichache sana
Nasra
Wafikie muafaka ligi irudi
Lydia Emmanuel Magoti
Wafikie muwafaka ligi iludi
Ester jackson
Wakubaliane tu
Gabriel
Cha msing muafaka
Lydia Emmanuel Magoti
Wafikie muafaka ligi ziludi
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri
Neema hassan
Wapitishe muafaka ligi ziendelee..
Adelta
Cha msingi kuelewana
Shafii
Ilimladi ligi irudi tyuu
farida ahmadi
Kikubwa ni makubaliano tyuu