Villa Wataja Dau la Grealish

Aston Villa watahitaji kiasi cha £80million kwaajili Jack Grealish majira haya ya Kiangazi, na Manchester United wakiongoza mbio za kuwania saini yake.

Viongozi wa Villa wanatamani kumbakisha nahodha huyo wa klabu lakini wanahofu ya kushuka daraja.

Dean Smith kwasasa wapo nafasi ya 19 katika msimamo wa Premier League lakini wanaweza kupanda hadi nafasi ya 16.

Grealish, ambaye amefunga magoli saba na kusaidia mengine sita kwenye Premier League msimu huu, ni moja ya wanaowaniwa na United.

Mtendaji Mkuu wa United anaamini kipindi hiki cha majira ya joto bei za wachezaji wanaowawania zitashuka kwasababu ya janga la Corona, lakini Villa wana uchumi mzuri hivyo haitawalazimu kumuuza kwa bei ya kawaida.

Wamiliki Nassef Sawiris na Wes Edens wako vizuri kiuchumi hivyo wanaweza kukataa ofa yoyote ndogo kwaajili ya Grealish.

Japo, inaweza kuwalazim kumuuza kama klabu hiyo itashuka daraja, kwani Grealish hatweza kucheza tena Championship.

45 Komentara

    Huyo jamaa Yuko vizuri Sana ila sio kwa kiwango Cha pesa hicho wanachokitaka Aston Villa

    Jibu

    Duh Jack grealish fundiii wa soka ilidau kubwa sana waangalieh na corona hiii timu nyng zmeshuka kiuchumi thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    Jack Grealish mchezaji mzuri kwasasa pale Aston Villa amekuwa kama samaki mkubwa kwenye bwawa dogo na amechezea pale kwa muda mrefu ni muda sasa kutafuta malisho pengine ingawa bei ni kubwa mno kwasasa maana uchumi umeyumba kila sekta#meridianbettz

    Jibu

    Hiyo pesa kwa Jack ni kubwa mno yan mno

    Jibu

    Mchezaji mzuri lazima wapande dau.

    Jibu

    Lazima wapande dau kwani nmchezaji mzuri

    Jibu

    Grealish n mchezaji mzur sana anastahil kwenda man u kuziba mapengo

    Jibu

    Duuh ila leo lazima mtoboe mkiwa mpo makini na jack akaendelea kuwa Aston villa

    Jibu

    Jack grealish n mchezaj amekua na msimu mzr sana atakuja isaidia United ck za usoni

    Jibu

    Dau kama kubwa sana

    Jibu

    Duuh hatari sana

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    Jamani viongoz mnapotaka mchezaji waangalie na uchumi ukoje#meridianbetz

    Jibu

    man United wakilipa hizo pesa naacha kuishabikia naenda Munich jack ni mtoto sana hata kufanya vibaya kwa Aston villa ni makosa yake

    Jibu

    Duuh Aston Villa wameshataja na dau tayari

    Jibu

    gud newz

    Jibu

    Duu! Hatari

    Jibu

    Duuh hatari sana

    Jibu

    Huyo ni mchezaji mzuri namshauri asikubali kuuzwa abakie hapo hapo kwenye club yake hiuo

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri ila sehemu aliyopo naona kama sio sehemu sahihi kwa kiwango chake

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Wapambane wamchukue

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    Haya apo kazi kwao Man united dau limetajwa

    Jibu

    Grealish wa kawaida sana ila kama kawaida soko la Waingereza ni kuwainua wachezaji wao dau hilo ni kubwa sana

    Jibu

    Duh ni pesa nyingi sana anajua kweli ila sio kwa pesa izo

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Jack fundi jmn

    Jibu

    Wajitahidi tu kwenye usajili#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Grealish ni mchezaji mzuri anakipajii

    Jibu

    Mbona wametaja dau kubwa sana ingawa mchezaji yupo vizuri kinoma

    Jibu

    Duuuu pesa ni nyingi mno but bado ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Grealish ni mchezaji anaejituma uwajani

    Jibu

    Itakuwa poa

    Jibu

    Maoni:Habar njema

    Jibu

    Inaonekana yupo poa sn huyu jamaa kwa dau Hili japo uchumi km umeslump down.

    Jibu

    Grearish ni mchezaji mzuri Sana kwa hiyo hata akiienda man u hatasaidia kuongeza nguvu kwa man u

    Jibu

    Duu uyo jamaha yupo vizuli sio kwakiwango icho wanacho kitaka hastoni villa

    Jibu

    Waweke day mezani watu wanafikia e wafanye biaashara

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Grealish ndo safari tena na Samatta atafuata tuu

    Jibu

    Yupo vizuri na ilo dau anastahili

    Jibu

    Habar njema #meridianbettz

    Jibu

    ilo dau si la kitoto

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe