Andre Villas-Boas atakuwa ndiye kocha wa klabu ya soka ya Olympique de Marseille kwa msimu wa mwaka 2020-21.
Hilo limethibitishwa na wakali hao wa ligi kuu ya nchini Ufaransa, Ligue 1.
Meneja Villas-Boas amesaini mkataba wa muda wa miaka miwili na kumekuwa na fununu kutoka kwenye vyombo vya habari vya Ufaransa vikidai kuwa meneja huyo wa zamani wa klabu za soka za Chelsea na Tottenham Hotspur anaweza asiendelee kuwa nao ingawa aliipeleka klabu hiyo kwenye hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League walipomaliza msimu wakiwa katika nafasi ya pili mbele ya Paris Saint-Germain msimu uliopita.
Kwa sasa OM wamethibitisha kwua Mreno huyo mwenye umri wa miaka 42 atakuwa ndiye mwenye majukumu ya kuiongoza klabu hiyo katika kampeni za msimu ujao.
“Mara baada ya kuwepo na mazungumzo baina ya mmiliki wa klabu, Frank McCourt pamoja na Rais wa klabu, Jacques-Henri Eyraud katika siku za hivi karibuni, Andre Villas-Boas aliamua kuthibitisha kwamba anataka kusalia hapa hapa akiwa na OM kwa msimu mwingine,” maelezo yalitolewa na klabu hiyo.


winfrida
meridian mnaendelea kutupa mambo mazuri sisi meridian nawakubali sana
Hope mwaikuka
Axante kwa Habar zenu mnatujuza meng
Juliana
Sawa tu,
Rehema Dickson
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 42 atakuwa ndiye mwenye majukumu ya kuiongoza klabu hiyo katika kampeni za msimu ujao.
Devotha
Asanteni kwa kutujuza
Salma
Iko pouw
Mwanaidi
Asanteni kwa taarifa meridian
Ester jackson
Mkataba aliusaini uwe na faida katika timu ndio tunachokitaka hapo
Evaluziga
Mnaendelea kutupa Mambo mazuri meridianbettz mnatisha
Neema hassan
Asante kwa makala#meridianbettz
Antony Luseno
Ni kocha mzuri natumai klabu itanufaika na falsafa yake
felister
good news
Adelta
Asante meridianbet kwa taarifa nzuri
Neema juma
Sio mbayaaa
aisha
Safi sana kwa villas boas kwa kusaini mkataba
Warda
Andre villas anaipenda sana Olympique#Meridianbettz
Theckla
Makala nzuri hongera mwandishi
Zeiyana
Ongera villas boas
Ester mmakasa
Asante kwa taarifa mahili na za kuaminika.
Furahav
Hongera nenda kapambane.
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Elika
Bora aendee tu huenda atafanya kutakuwa na mabadiliko
Frank Patrick
Hongera zake
Christopher
Dah alipotea sana huyu jmaa, vzr arudi kweny level kubwa kiushindani
Shafii
Ndo akakaze huko asije akafanya ya Chelsea na spurs
David pere
Kule Ndio kunamfaa kwa kiwango chake Cha ufundishaji mpiraa
Asia Abdy
Kweli kabisa
amani
ni kocha mzuri pia nijambo zuri aliloamua kusalia katika timu hiyo ya ligue1
Caroline
Anafanya kazi nzuri..
Magdalena
Kila la kheri kwake
Aziza mushi
Asanteni kwa tariifa. Meridian
Povel
Pongezi kwake
Gabriel
Itabid mashabiki tuangalie uwezo wa villas boas Kama ataweA kuipandisha Marseille
Mwajuma
Kwa uwezo wake atafanya vizuri sana
Kenani
Mi nampenda coz ninkocha kweny farsafa mzur atainufaisha club kuwa katika nagas mzur
dorophina
Kule ndo kunamfaa kwa kiwango chake
Ernest
Ninachompendea Villas-Boas lazima aweke alama katika klabu ambayo ataifundisha, Ni Kocha mwenye ubora wa juu sana katika karne hii.
mwakalosi
nilikuwa nishamsau huyu kocha kumbe bado yupo waingerza sio watu kabisa
Hamidu
Villa boas bado uwezo anao..natagemea atafanya mazuri#meridianbettz
Tahiya
Ni kocha mzur
Rehema
Pogezi kwake
Agness
Hongera zake
Samiah
Anafanya kz nzr hivyo nenda kapambane
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera zake nenda kapambane kaka