Msimu huu timu nne (4) [timu zitakazo maliza nafasi ya 14 hadi 18] zitashuka daraja moja kwa moja kutoka Ligi Kuu VPL kwenda Ligi Daraja la Kwanza.

Timu mbili (2) [nafasi ya 13 na 14] zitacheza mechi za mtoano [play offs] na timu za Ligi Daraja la Kwanza zitakazomaliza kwenye nafasi ya pili na tatu kwenye kila kundi. Timu hizo za Ligi Daraja la Kwanza zitakuwa zinapambana kupanda Ligi Kuu VPL wakati timu za Ligi Kuu zenyewe zikipambana zisishuke daraja.

MSIMAMO WA VPL NAFASI ZA KUSHUKA DARAJA
13. Kagera Sugar |29| 30 pts
14. Mbeya City |28| 30 pts
——————————————-
15. JKT Tanzania |28| 30 pts
16. Ihefu SC |28| 30 pts
17. Mtibwa Sugar |27| 28 pts
18. Mwadui FC |29| 19 pts
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Sio powa iyoooo
Jamani jipangeni vizuri ili msishuke daraja#meridianbett
Ngoja tuone nani atabaki na nani atatoka
Tuna subir mwisho wa ligi
Ngoja tusubiri tuone itakuwaje
Bona balaa
Mashabiki yetu macho
Ngoja tuone