Kunako ulimwengu wa soka, aliyekuwa golikipa namba 2 wa Tottenham – Michel Vorm, ametangaza kustaafu kucheza soka.
Vorm (miaka 37) aliachana na Spurs baada ya mkataba wake kumalizika majira haya ya kiangazi.
Taarifa rasmi kutoka Spurs zinasomeka ” Asante kwa kila kitu na tunakutakia kila la kheri.”
Mwaka 2019, Michel aliondoka Spurs baada ya Hugo Lloris kupewa nafasi kubwa na kocha wa muda ule – Mauricio Pochettino. Alirejea tena klabuni hapo baada ya Lloris kupata majeruhi ya muda mrefu na alisaini mkataba wa muda mfupi mpaka mwisho wa msimu uliomalizika.
Michel alijiunga na Spurs mwaka 2014 akitokea Swansea na ameitumikia Spurs kwa jumla ya michezo 48.
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.
zeiyana
ni maamuzi magumu aliyofanya vorm kwa umri haliokua nao bado hanaitajika sana kwenye ulimwengu wa soka
Adelta
Amechagua maamuzi sahii kutoka na umri wake
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri nimamuzi yake kutaka kustaafu soka
Carolyn
Apumzike tuu.kama kichwa kimechoka
Sauda
Mapumziko mema
Ernest
Vorm hajaenjoy kabisa soka lake muda mwingi ameutumia akiwa benchi
Angelina
Ni maamuzi mazuri umri unaruhusu
Antony Luseno
Sio mbaya kila jambo na wakati wake
Fatuma kasomo
Sio jambo baya kila la heri
Dorophina
Maamuzi aliyoyatoa umri wake bado kabisa kustaafu
Hopemwaikuka
Sio mbaya Age imekata
Tatu
Umri wake bado kama mwenyewe ameamua hvyo poa
Issa
Rekod safi alioiacha
Elika
Bora apumzike tuu
Povel
Apumzike legendary Vorm spurs tutakumis na kukumbuk kwa mambo yako mazuri
farida ahmadi
Habari nzuri
aisha
Hawezi kusahaulika hata siku moja
Sabrina
Inapendeza akipumzika Miaka yake inaruhusu
Fatina mfingi
Ni jamb nzur kam ameona hivyo
Mwajumah
Ni maamuzi yake katika kustaafu soka
warda
Kafanya poa sema namuona bado mdogo