Wenger Anaunga Tela Orodha ya Mrithi Inter Miami

Arsene Wenger anaunganishwa na Phil Neville kuwania kibarua Inter Miami.

Safari ya Inter Miami kumsaka meneja mpya baada ya kumalizana na Diego Alonso inaendelea kunoga, orodha ikiendelea kupamba mameneja wazoefu na walippata mafanikio makubwa katika soka.

Kwa mujibu wa ripoti za soka, meneja anayeachana na timu ya wanawake ya Uingereza Phil Neville ndiye anayepigiwa upatu zaidi kuwa kwenye mazingira mazuri na kibarua hicho.

Hata hivyo, Inter Miami ambao wanashiriki ligi ya MLS wanaendelea kutazama meneja bora atakayewafaa na wana machaguo kadhaa mezani, Arsene Wenger, Robbie Keane na Bob Bradley wakiwa kwenye orodha.

Neville ambaye anaonekana kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi natajwa kuwa anatazamia kumalizia jukumu lake kwenye timu ya taifa hado baada ya michuano ya Tokyo Olympics iliyoahirishwa.

Kuna taarifa kuwa licha ya kuwa Neville anataka kuondoka kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza, huenda tofauti zake na Shirikisho la Soka zikamalizika na akasalia na kibarua chake, hii inamaana Arsene Wenger, Robbie Keane na Bob Bradley wanakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.


 

JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

16 Komentara

    Good New

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Tusubiri tuone itakuwaje

    Jibu

    Wenger anazingua

    Jibu

    Watamuua Wenger kwa Pressure bure, Anatakiwa kurelax now ameshapata pressure kubwa sana wakati yupo Arsenal

    Jibu

    Tunangojea tuone

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Arden Wenger yupo vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wenger anafaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wenger yupo vizuri atawafaa

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Wenger nenda inter

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wenger hakati tamaa

    Jibu

Acha ujumbe