Shane Werne amekosoa maamuzi ya kumjumuisha mchezaji Steve Smith kwenye kikosi kilichopo kwenye mashindano ya kombe la dunia ya kriketi WC T20 yanayofanyika nchini Australia.

Kauli hiyo inakuja baada ya Australia ambao ni wenyeji wa mashindano ya WC T20 kukubali kipigo dhidi ya England siku ya Jumamosi. Shane Werne anaamini Mitchell Marsh alistahili katika kikosi hicho.
“Maamuzi yasiyotarajiwa kwa Australia kumuacha (Mitch) Marsh nje na kumuweka Maxwell Glenn aanze katika power play (alitakiwa aingie baada ya power play)” aliandika katika ukurasa wake wa twitter.
“(Marcus) Stoinis alitakiwa kuingia. Mbinu na mikakati mibovu kutoka kwa Aussies. Nampenda Smith lakini hakutakiwa kuwepo katika kikosi cha WC T20. Marsh alitakiwa.” aliongeza Werne.
JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE!
Achana na ndoto za usingizini za kuokota burungutu la pesa, amkia upande wa ushindi halisi kutoka Meridanbet kwenye shindano la Expanse linalojumuisha michezo pendwa ya sloti za mtandaoni iliyopo kwenye promosheni ya Expanse kutoka Meridianbet.



