Wes Morgan Kutundika Daluga Mwisho wa Msimu.

 

Nahodha ya Leicester City, Wes Morgan, ametangaza anatarajia kustaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu.

Wes Morgan mwenye umri wa miaka 37 mkataba wake utaisha kipindi cha kiangazi wakati Christian Fuchs, ambaye pia ameinua ligi ya uingereza mwaka 2016 pamoja na Matt James watauacha uwanja wa King Power.

 

Wes anaweza kuonekana kwa mara ya mwisho kwenye mechi ya ushindani, itakayochezwa dhidi ya Tottenham kama Leicester City inavyopambania nafasi ya kwenye 4 bora na kufuzu Ligi ya Mabingwa.

Morgan ameoneka kwenye michezo 324 akiwa kwenye timu hiyo tangu alipo jiunga na Nottingham Forest mwezi Januari 2012 na kushinda magoli 14.

Mwenendo na uchapa kazi wake umekuwa sababu timu hio kuwepo kwenye 4 bora za ligi ya Ulaya, na Kuonekana zaidi ya mara 750. Alitajwa katika kikosi cha timu bora ya muongo, timu ya mabingwa ya mwaka mara tatu na PFA Team ya mwaka 2015/2016.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.