Kipa wa Uhispania na West Ham, Roberto ameondoka klabuni hapo na kuelekea kujiunga na Real Valladolid kama mchezaji huru.
Mlinda mlangu huyu ambaye ana umri wa miaka 34 alikuwa ametia saini mkataba wa miaka miwili na West Ham mnamo Mei 2019. Alicheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Newport County kwenye Kombe la EFL mwezi Agosti.
Lakini makosa kadhaa ikiwa ni pamoja na kujisababishia goli ndani ya nyavu alizozilinda yeye mwenyewe dhidi ya Burnley, zilimfanya kutia gundu katika kipindi chake na West Ham. Akiwa na klabu hii ameweza kucheza Jumla ya mechi 10.
Mnamo Januari, alipelekwa Alaves kwa mkopo na alimalizia kipindi chote cha msimu kilichosalia akiwa huko.
Roberto liruhusu magoli 17 ndani ya nyavu, na katika hayo matatu alifungwa katika kila mechi kwa mechi 3 mfululizo mnamo mwezi Novemba.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


magdalena
kama kaamua kuondoka si jambo baya maamuzi yake yaheshimiwe uenda kuna jicho la mbali limemuonesha uko aendako
Ester jackson
Popote kambi
Furahav
Kapambane mzee.
Rose kapinga
Popote kambi!!!
Antony Luseno
Nahisi huku alipokwenda ndo atakapostaafia
Sabrina
Safi sana Roberto
Nasra
Safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Safii popote kambi
Sadick
Ni gundu kwa mlinda goli kujifunga goli wewe mwenyewe, kibaya zaidi amefungwa goli nyingi katika mechi chache#meridianbettz
Khadija
kambi popote
Hope mwaikuka
Safar njema
Ernest
Kila la kheri Roberto
Caroline
All the best
Dorophina
Kila lakheri Roberto maisha popote
Mwajumah
Popote kambi
Sauda
Maisha popote.
Issa
Akher kwake kukipiga huko
Janeflora malisa
Kila la kher kambi popote
lombo
maisha popote
Salma ngende
Safari njema
Shafii
Sio mbaya maisha popote.
Omary lukumbi
Nice
Samira
Ki lakheli huko ulipoenda
Flomena
alipelekwa Alaves kwa mkopo na alimalizia kipindi chote cha msimu kilichosalia akiwa huko.
Fatina mfigi
Kambi popote Ila nidhamu na akili inaitajika!!
Njiku
Ipo poa hii
Povel
Kila la kheri
Rehema
Iko pouwa
aisha
Kila lakheri uko aendako.
Theonestina
Safiii
Gabriel
Kambi popote Roberto namkubal sana bonge la mchezaji
Amiri Kayera
Anatft changamot mpya
Saupha mohamed
Kambi popote
felister
kambi popote
Devotha
Akafanikiwe zaidi aendapo
Zeiyana
Hayo ni mahamuzi yake kuchagua sehemu sahihi itakayomfaa hadi kupelekea kutimiza ndoto zake
warda
Hongera yake Kambi popote
David Pere
gundu kwa mlinda goli kujifunga goli wewe mwenyewe, kibaya zaidi amefungwa goli nyingi katika mechi chache