Klabu ya West Ham United wamekamilisha usajili wa beki wa Morocco na Rennes, Nayef Aguerd kwa dau la £30m pamoja na marupurupu ya nyongeza.

Beki huyo kitasa wa timu ya taifa ya Morocco amejiunga Hammers kama usajili wa kwanza wa timu hiyo ya London kwa mkataba wa miaka mitano.

 

west ham, West Ham Wakamilisha Usajili wa Nayef Aguerd., Meridianbet

“Nilijiskia furaha niliposikia West Ham wameniulizia,” amesema Aguerd. “Niliposikia, nilijua nataka kujiunga na Premier Ligi, kwasababu ni ndoto ya kila mchezaji.

WestHam ni klabu ya kihistoria. Nimeona mechi kadhaa msimu huu, na niliona hali ilivyokuwa ya kuvutia. Niliongea na meneja na alionekana namvutia, ilikuwa rahisi kuchagua kuja West Ham.” aliongeza.

Nayef Aguerd, 26 alitua London wiki iliyopita kwaajili ya kufanya vipimo vya afya kabla ya kukamilisha usajili wake. Newcastle pia walikuwa wanamuwinda mchezaji huyo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa