Wiki Ngumu kwa Inter Milan Kuelekea Oktoba 17

Inter Milan wanakumbana na wiki ngumu wakiwa wanajiandaa kuumana na AC Milan na huku wachezaji wake sita kwa sasa wakiwa na maambukizi ya Covid-19. Antonio Conte atakuwa na siku moja tu ya mazoezi ya kuandaa timu kwa pambano la Jumamosi.

Alessandro Bastoni, Milan Skriniar, Roberto Gagliardini, Radja Nainggolan, Ionut Radu na Ashley Young wamepatikana na Covid-19 na hawatastahili kucheza dhidi ya Milan Jumamosi wakati Stefano Sensi pia akiwa amesimamishwa.

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, Bastoni anaweza kucheza ikiwa ikiwa akifanya tena vipimo siku ya Alhamisi na kupatikana bila maambukizi, zaidi ni afadhali ikiwa Serikali ya Italia inapunguza kipindi cha karantini hadi kuwa siku kumi.

Upana wa kikosi cha Inter Milan kitamruhusu Antonio Conte kupanga safu ya ushindani sana mnamo Jumamosi ikiwa hakutakuwa na taarifa nyingine mbaya katika siku zijazo.

Kulingana na Sky Sport, wachezaji wengi wa Inter ambao kwa sasa wako kwenye jukumu la Kimataifa watarudi kwenye kituo cha Suning siku ya Alhamisi wakati watakuwa na watafanyiwa vipimo.

Ikiwa wachezaji hawatapatikana na maambukizi zaidi, basi itakuwa ni afadhali kwa Conte katika kusuka kikosi kizito cha Inter Milan Jumamosi,

 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

25 Komentara

    Kwakuwa Mungu yu pamoja nao watapona tu na watarejea vikosini

    Jibu

    Hii mechi kwa upande wa inter itakua ngumu sana

    Jibu

    huu ugonjwa Mungu tu atusaidie hakuna namna nyingine ya kuuzuia

    Jibu

    Wazid kuchukua tahadhari

    Jibu

    Inter wanatakiwa wawe na umoja

    Jibu

    Wanatia huruma mno ila watakuwa sawa tu wasijali

    Jibu

    Watakaa sawa

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Milan

    Jibu

    Watakuwa sawa tuu kwa uwezo wa mungu

    Jibu

    Inter wanakibarua kizito sana hiyo tarehe

    Jibu

    Inter kazi wanayo

    Jibu

    Bonge la Derby ila inte wapo vizuri watapata matokeo

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Milan

    Jibu

    Milan derby patachimbika

    Jibu

    Watakaa sawa

    Jibu

    Nadhani itakuwa vizuri kama mechi itahairishwa tuu

    Jibu

    Corona itafelisha Sana club nying

    Jibu

    Jmn corona mbona inasakama wachezaji

    Jibu

    Inter kazi wanayo

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Inter kazi wanayo

    Jibu

    upande wa inter itakua ngumu sana

    Jibu

    Duh hatarii hii

    Jibu

    Mambo ni moto MILAN derby💪💪💪💪💪

    Jibu

    Dah

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.