Deontay Wilder alikuwa anatamani sana kuweka rekodi ya kuua mtu ulingoni.
Hii ni kulingana na matamshi yake yeye mwenyewe aliponukuliwa siku chache kabla ya pambano la kutetea ubingwa dhidi ya mpinzani wake Dominic Breazeale. Hatimaye raundi moja ikampa heshima.
Wilder alihitaji dakika ngapi?
Bondia huyu hakuhitaji mda mwingi kumlaza chali mpinzani wake, ni sekunde 43 za raundi ya kwanza zilitosha kumuacha chali mpinzani wake. Ilikuwa ni KO matata iliyotua kwenye uso wa Breazeale aliyeanguka kama gunia baada ya konde hilo.

Wilder ambaye ana umri wa miaka 34, alieendelea kuilinda heshima ya taji lake la WBC katika rekodi ya mapambano 42 akiwa ameshinda mapambano 41 na sare 1 kwa wakati ule. Katika hayo, alikuwa ameshinda mapambano 40 kwa KO (Knock Out). Hili lilikuwa pambano la pili kupoteza kwa Brezeale ambaye alichapwa pia na Anthony Joshua mwaka 2016.
Ushindi huu ulimfanya alinde taji la WBC kwa mara ya tisa, na alikuwa bondia wa 10 kufanikiwa kulinda taji hilo mfululizo katika historia ya ndondi za WBC.
Wilder pia alitamba kuwa milango iko wazi kwa mabingwa wengine wa ndondi kama Tyson Fury kupanda naye ulingoni, kabla ya Tyson kuingia ulingoni na kumchapa katika raundi ya 7 kwa TKO mwezi Februari.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Mwajumah
Asante kwa makala#Meridianbettz
Caroline
Kweli uyu noma..hongera wilder
Sauda
Du! Ametisha
Gabriel
Katika mabondia ambayo nawakubal sana kwenye mtanange wa ngumi lazma wilder awepo maana huyu n bingwa naweza kumuita wa dunia wa heavyweight kwan Wilder ambaye ana umri wa miaka 34, alieendelea kuilinda heshima ya taji lake la WBC katika rekodi ya mapambano 42 akiwa ameshinda mapambano 41 na sare 1 kwa wakati ule. Katika hayo, alikuwa ameshinda mapambano 40 kwa KO (Knock Out). Hili lilikuwa pambano la pili kupoteza kwa Brezeale ambaye alichapwa pia na Anthony Joshua mwaka 2016 na lishawai kumpiga Tyson furry wakasema n suluhu kwa hujma
Hope mwaikuka
Vzur kutimiza malengo yako uljiwekea
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri alijitaidi kwajudi ili kupambania ushindi wake
Povel
Duh wilder Ametisha kwny masubwi noma sana hiiiii
Rehema
Asante kwa makala
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Devotha
Thanks for update
Ernest
Wilder mwamba amabaye anakuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa masumbwi
Issa
Wilder ni noma sana ngumi jiwe
Rose kapinga
Wilder hater Sana umuachi mtu salama!!!!
Sadick
Deontay Wilder amepoteza kiasi heshima yake baada ya kupigwa na Tyson Fury, endapo atapigwa watakaporudiana atapotea katika ulimwengu wa masumbwi#meridianbettz
Salma ngende
Safi sana
Omary lukumbi
Mtu hatar sana
David Pere
Deontay Wilder amepoteza kiasi heshima yake baada ya kupigwa na Tyson Fury, endapo atapigwa watakaporudiana atapotea katika ulimwengu wa masumb
Ester jackson
Naukubali sana Deontay Wilder
Adelta
Safi Sana
@meridianbettz
Mwanahamisi
Safi sana
Zeiyana
Alitisha sana daaah..! Ama kweli ukitembea na ndoto zako hinawezekana
Dorophina
Inaonekana Wilder ngumi yake moja tu jiwe la kutosha
aisha
Wilder ametisha sana namkubali mnoo
Fatina mfingi
Inaoneka Wilder Ni mtu hatar
Fatuma kasomo
Wilder yuko vizuri
Furahav
Mchezo wa ngumi naupenda sana.
Amiri Kayera
Bondia mzur san
felister
uyu jamaa hatari
Sabrina
Jamaa nouma sanaa
Saupha mohamed
Huu mchezo mzuri sana
warda
Ndo ngumi inatakiwa iwe hivyo unampiga mtu mapema tu
magdalena
pabano lilikuwa kali sana