Kamati ya mashindano ya Wimbledon wametoa ruhusa kwa wachezaji wasiochanja chanjo ya Covid-19 kucheza katika mashindano ya mwaka huu.

Habari hiyo njema kwa mchezaji namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic ambaye alizuiwa kushiriki katika mashindano ya Australian Open mwezi january kutokana na kugomea chanjo ya Covid-19.

 

wimbledon, Wimbledon : Wachezaji Wasiochanjwa Ruksa Kucheza., Meridianbet

Djokovic aliweka wazi yupo tayari kukosa mashindano yote ya tenisi endapo kigezo kitakuwa ni kupata chanjo ya Covid-19, lakini uongozi wa Wimbledon wameondoa marufuku hiyo.

Mkurugenzi mtendaji wa vilabu vyote nchini Uingereza, Sally Bolton amesema,”Vigezo vilivyowekwa na serikali kuingia uingereza havihusishi chanjo ya Covid-19 kwahiyo ingawa inahimizwa, lakini haitakuwa kigezo cha kushiriki katika mashindano ya mwaka huu.

Sasa Djokovic atakuwa na uwezo wa kutetea taji lake katika majira ya kiangazi, akiwa bingwa wa Wimbledon kwa mara ya sita baada ya kumfunga muitaliano Matteo Berrettini mwaka jana.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa