Wimbo wa “LO STADIO IN UN CASSETTO”; Wimbo wa Mabingwa

Warner Chappell Music Italiana wakiwa pamoja na Apollo Records, wakishirikiana na Stars on Field, wasambazaji wa Warner Music Italy kwa udhamini wa Lega Serie A, wametoa wimbo wa hisani uitwao “Lo Stadio in un Cassetto”.

Kwa mara ya kwanza kundi la mabingwa lenye wachezaji wa soka wapatao 21 wameimba wimbo mpya wa pamoja wakitoa sapoti kwa familia za madaktari ambao wamepoteza maisha kutokana na kupambana kutibu wagonjwa wa Covid-19.

Wimbo huu pia unawaendea wale wafanyakazi wote wa idara ya afya ambao walipoteza maisha katika heka heka za kuokoa maisha ya watu wengine.

ALESSANDRO BASTONI • BARBARA BONANSEA • FEDERICO BONAZZOLI • FRANCESCO CAPUTO • GAETANO CASTROVILLI • ALBERTO CERRI • DANILO D’AMBROSIO • MATTEO DARMIAN • STEFANO ERANIO • SAMUEL ETO’O • CIRO FERRARA • ALESSANDRO FLORENZI • MAURIZIO GANZ • SIMONE ANDREA GANZ • ELENA LINARI • ALESSANDRO MATRI • LEONARDO MOROSINI • ANDREA PIRLO • ANDREA RANOCCHIA • LUCA TONI • NICOLA VENTOLA • 

Wimbo huo uliimbwa rasmi siku ya Jumapili ya tarehe 24 Mei muda wa saa 8.45pm kwa mara ya kwanza kabisa na ukaachiwa rasmi siku ya Jumatatu ya tarehe 25 Mei.

32 Komentara

    jambo jema kuwapa faraja kwa kazi nzito wanayofanya

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Good song 👍 update# meridianbet

    Jibu

    Good👏👏

    Jibu

    Nice song

    Jibu

    Jambo nzuri sana walilolifanya kuwafariji ili na wao wapate ujasiri wa kupambana kuhusu ugonjwa wa corona MUNGU awatie nguvu kwenye kiindi hichi .

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Upo vizuri sana

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Wimbo mzuri wa mabingwa safi sana

    Jibu

    Nyimbo nzuri

    Jibu

    Inapendeza sanaaaa

    Jibu

    Ni kazi nzuri kwa wafanyakazi wao

    Jibu

    inatia faraja kwa wauguzi wote waliojitolea na wanaoendelea kujitolea kushughulikia waathirika kwenye kipindi hiki

    Jibu

    Nice song

    Jibu

    Habari njema sana hiyo

    Jibu

    Upo vizuri sana

    Jibu

    Waoooo iko bomba

    Jibu

    Wao gud news 🤝🤝🤝

    Jibu

    Niliusikia ni mzuri ajabu #Meridianbettz

    Jibu

    wimbo mzuri sana

    Jibu

    Mambo mazur hayo

    Jibu

    Nzuri sana

    Jibu

    Mungu awatie nguvu

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Inapendeza sana mungu watie nguvu

    Jibu

    wimbo mzuri

    Jibu

    Vizuri sana inatakiwa juudi kubwa sana kuwapa furaha na of pia ziwaondoke mashujaa wetu

    Jibu

    Ni jambo jema sana ata wauguzi na madaktari watafarijika

    Jibu

    Ni faraja kwa kweli

    Jibu

    Wamefanya jambo la msingi

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

Acha ujumbe