Aliyekuwa mchezaji wa Liverpool Gini Winaldium amsaini kandarasi ya kujiunga na PSG rasmi na sasa atakuwepo kwa mabingwa hao wa kihistoria mpaka Juni 2024.

Gini Winaldium alionekana kuwa kwenye radar za Barcelona toka mwanzo wa majira haya na Barcelona ilikuwa njiani kutangaza saini ya mchezaji huyo lakini Wilnadium alibadili mawazo dakika za mwisho.

Winaldium anatarajiwa kulipwa takribani Euro Milioni 9.5 kwa msimu mmoja. Kilichomuondoa Gini kwenye kujiunga na Barcelona ni kutoka na dau dogo lililokuwa limewekwa na Barcelona.

Meneja wa PSG, Mauricio Pochettino anaaminiwa kuwa kupata saini ya mchezaji huyu ni karata dume sana katika kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara zaidi kuelekea mashindano makubwa ya mwaka ujao.

Baada ya kumkosa nyota huyu wa Liverpool, Barcelona wanaaminiwa kuwa sasa wameamua kuhamishia majeshi yao kwa Memphis Depay, ambaye mkataba wake na Lyon unaisha mwisho wa mwezi huu.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa