Wolves Kukiwasha Dhidi ya Burnley

Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza EPL, ambayo inatarajiwa kupigwa hii leo ni ile ambayo inawakutanisha Wolves dhidi ya Burnley majira ya saa 4:30 usiku katika dimba la Molineux.

 

Wolves Kukiwasha Dhidi ya Burnley

Wolves wametoka kupoteza mechi yao wikendi hii wakiwa ugenini na sasa wanarejea nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya vijana wa Vincent Kompany ambao wametoka kutoa kichapo kizito mechi yao iliyopita.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Vijana hao wa Gary O’Neil wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi zao 15, wakishinda mechi zao 4, sare 3 na kupoteza mara 7 hadi sasa kwenye ligi.

Wolves Kukiwasha Dhidi ya Burnley

Huku Burnley wao wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 7 kwenye mechi 14, wakishinda mchezo mmoja pkee, sare 2 na kupoteza 11 hadi sasa.

Tofauti ya pointi kati yao ni 8 huku kila timu ikihitaji ushindi hii leo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kabla ligi haijapinduka. Je Kompany na timu yake ambao wana hali mbaya sana wataambulia nini ugenini? Suka mkeka wako na meridianbet sasa.

Acha ujumbe