Woodward Aondoa Utata Man United.

Ukisikia ile kauli ya “usiyempenda kaja” ndio kilichotokea. Mashabiki wa Man United kwa kiasi kikubwa hawamkubali Mkurugenzi wa timu hiyo – Ed Woodward, na amekuja na habari ambayo pengine itawaumiza baadhi ya wakereketwa wa Man United.

Ed Woodward amenukuliwa akisisitiza “Man United itaendelea kufanya kazi na Ole Gunnar Solskjaer“. Licha ya kuanza msimu huu vibaya kwenye EPL, uongozi wa timu hiyo bado unaimani kubwa na Ole na itaendelea kufanya naye kazi.

Hii imekuja baada ya ripoti yenye taarifa za kifedha za timu hiyo kuchapishwa kimakosa siku ya Alhamisi.

Kwa ufupi, ripoti hiyo ilipangwa kutoka Ijumaa mchana lakini kulitokea tatizo la kiufundi wakati wa kufanya majaribio ya kuchapisha ripoti hiyo mtandaoni. Mapato ya United ni pauni milioni 109 ambayo ni pungufu ya 19.5% ikilinganishwa na ripoti ya mwaka jana kwa miezi mitatu.

“Wakati ambapo COVID19 inaendelea kuleta changamoto, tunaamini kwamba wakati wa kujiandaa zaidi na kurudi katika hali ya kawaida unakaribia.

“Uwezo wa klabu kustahimili na ukomavu katika biashara unaendelea kuweka misingi imara na inatupa nguvu ya kuyaona malengo yetu ya muda mrefu hata baada ya COVID19 – ndani na nje ya uwanja.” alisema Woodward.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

24 Komentara

    Nadhani Man U inahitaji kufanya ilichofanya Aston Villa kwa kumuondoa John Terry aliyekuwa Kocha msaidizi na kumuleta mtu mwingine anamufanya Dean aonekane bonge la Kocha. Ole Gunner anahitaji kuongezewa mtu bench la ufundi

    Jibu

    Man U wanaitaji kupata kitu Bora na kufanya msimamo wao wamwenendo wakumpata mtu mwenye kuindesha kikosi hicho kwaio kwaman bado Kuna kupishana kauli frani kwakumtaka mtu hatae hindesha kipasavyo Man U

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Safi sana wood ward united inakuamin

    Jibu

    Shukrani kwa makalq

    Jibu

    Safi Hy ndo maneno ya kutumbi cc mashabiki wenu

    Jibu

    Manchester united kazi ipo

    Jibu

    Man u wanatakiwa kubadilisha kocha ili wasonge mbele

    Jibu

    united anaechangia kwa kiasi kikubwa kuteketea ni uyu kivuruge ed wood na ndo anaeiharibu timu kwa mambo yake ya ajabu anayoyafanya

    Jibu

    Mashabiki wa man united wawe na subra tu

    Jibu

    Cjapenda kabsaa hii

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Dah hapo kazi kweli ipo

    Jibu

    Uongozi wa man u unayumba ole anayumbisha timu kwa mifumo yake mibovu watakuja kukumbuka shuka kumesha kucha

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Sisi mashabiki tunawaachia wafanye uwamuzi wao mambo yakienda kombo ndio wataelewa zaidi

    Jibu

    Ole na Ed woord wamekuwah na wakati mgumu co hvy hata ed wood bado anawsi wasi na kiti chake ndani Red devil

    Jibu

    Wood ward amekua mtu ambae kama sababu ya united kufanya vibaya kwa kutotoa pesa za usajil kwa kocha

    Jibu

    Duuh inabidi mashabiki wa man u wawe wapole

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Man U wanaitaji kupata kitu Bora na kufanya msimamo wao wamwenendo wakumpata mtu mwenye kuindesha kikosi hicho.

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Woodward amekua chanzo cha timu kupoteza uelekeo na knatakiwa atoe pesa za usajili kwa kocha

    Jibu

Acha ujumbe