Kikosi cha timu ya taifa ya England kimeondoka leo kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026, huku kikibeba matumaini makubwa ya kuwania taji hilo …
Makala nyingine
Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, amewasili jijini Kansas, Marekani, kwa kutumia ndege yake binafsi tayari kujiunga na kikosi cha mabingwa watetezi wa dunia kinachojiandaa kwa Fainali za Kombe la Dunia …
Kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, kimeondoka kuelekea Mexico kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kukamilisha maandalizi ya mwisho ya safari hiyo muhimu …
Bodi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa IFAB imeidhinisha mabadiliko makubwa ya sheria za mchezo wa soka ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia msimu wa 2026/27 pamoja na Kombe la Dunia …
Beki wa Paris Saint-Germain Willian Pacho na beki wa Arsenal Piero Hincapié wamejumuishwa kwenye kikosi cha Ecuador kitakachoshiriki Kombe la Dunia, chini ya kocha Sebastián Beccacece. Wawili hao walikutana katika …
Ufaransa inaendelea kuthibitisha kwa vitendo kwa nini ilitajwa miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa Taji la Dunia. Ingawa mabao ya nahodha Kylian Mbappé yamekuwa na mchango mkubwa, mafanikio …
Nyota wa Brazil, Neymar Jr, atakosa mechi mbili zijazo za kirafiki za timu ya taifa hiyo baada ya kuthibitishwa kuwa na majeraha ya daraja la pili kwenye misuli ya mguu …
Katikati ya wimbi la wasiwasi kuhusu majeraha, kocha wa Argentina Lionel Scaloni amejitahidi kuondoa mashaka kwa kuthibitisha kuwa sehemu kubwa ya mabingwa watetezi wa dunia, akiwemo nahodha Lionel Messi, watakuwa …
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo (AFCON …
Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr, amewasili kambini nchini Marekani kwa mtindo wa kipekee baada ya kutumia helikopta maarufu kama ‘Chopa’, tayari kwa maandalizi ya michuano …
Kiungo mshambuliaji wa Hispania na klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal, ameanza rasmi mazoezi binafsi ya uwanjani pamoja na gym ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kurejea kikosini baada …
Kambi ya timu ya taifa ya Argentina imepata afueni baada ya kubainika kuwa jeraha la nahodha wao, Lionel Messi, si kubwa kama ilivyokuwa ikihofiwa awali. Messi aliwaacha mashabiki na taharuki …
Kiungo wa timu ya taifa ya Scotland Scott McTominay amepewa heshima ya kipekee baada ya bao lake la kuvutia dhidi ya Denmark kuwekwa kwenye noti maalum ya pauni 20 iliyozinduliwa …
Timu ya taifa ya Colombia imetangaza rasmi kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 26 kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2026 itakayofanyika katika mataifa ya Marekani, Mexico na Canada. Kikosi …
Kocha wa timu ya taifa ya Hispania, Luis de la Fuente, ametangaza kikosi cha nchi hiyo kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026 huku kinda nyota wa FC Barcelona, Lamine Yamal, akijumuishwa …
Shirikisho la Soka Brazil (CBF) limechagua kituo kipya cha mazoezi kinachomilikiwa na kampuni ya Red Bull kilichopo jijini New York, Marekani kuwa kambi rasmi ya timu ya taifa ya Brazil …
Nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimaraes, ameonyesha hisia kali baada ya kuitwa kwenye kikosi cha Brazil kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026, akisema sasa yuko tayari kuiishi ndoto kubwa akiwa na …

