Xavi: Dembele Asaini au Nimuuze January Hii

Kocha mkuu wa klabu ya Barcelona Xavi ameeleza mpango wake wa kumpiga bei winga wa kimataifa wa Ufaransa Ousmane Dembele mwezi huu kama hatakubali kusaini mkataba mpya.

Dembele mwenye miaka 24 mkataba wake na klabu ya Barcelona unaisha mwishoni mwa msimuna alijiunga na klabu hiyo akitikea klabu ya ujerumani Borussia Dortmund mwaka 2017 kwa ada ya uhamisho ya kiasi £110million, tokea asajriwe pia hakuwa na msimu mzuri kwani amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara.

Xavi

xavi leo jumatano alipokutana na waandishi na kumuuliza kuhusu hatma ya dembele aliwajibu, “Either asaini au tutantafutia njia ya kwenda, mwishoni, klabu itaamua ikiwa hata saini mktaba mpya, ila lazima ufumbuzi upatikane.

“Inabidi tufanye maamuzi bora kwa klabu, tumefika kipindi inabisi tusimamishe haya ,mkurugenzi wa michezo amekuwa na mazungumzo nae na muwakilishi wake kwa muda wa miezi mitano.

“Dembele aniambie anataka kuendelea, hilo ndio swali kwake, sikuwaweza kuwa muwazi, haliwezi kunikatisha tamaa, hii ni kesi ngumu sana.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe