Xhaka Hana Mpango na Inter Milan.


Kiungo wa kati wa Arsenal, Granit Xhaka ameiambia klabu ya Inter Milan kuwa waachane na mpango wa kumsajili kwani kwasasa hana mpango wa kuondoka Arsenal.

Intern Milan walikua na imani watafanikisha usajili wa xhaka katika dirisha dogo la usajili wakati wa majira ya baridi mwezi Januari mwakani.

 

Mchezaji huyo amemwambia kocha wake Mikel Arteta yupo tayari kupambana kupata nafasi katika kikosi cha kwanza.

Arsenal inayoshika nafasi ya 12 katika msimamo wa EPL, kwasasa ipo katika mipango ya kuimarisha kikosi kwaajili ya michuano ya ulaya, huku wakitarajia kuingia sokoni katika majira haya ya baridi.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

29 Komentara

    Uwamuzi ni wako kubaki hapo arsenal

    Jibu

    uamuzi anao yeye

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Maamuzi ni yako mwenyewe

    Jibu

    Kazi kwake muamuzi.

    Jibu

    Fanya maamuzi sahihi!!

    Jibu

    Kazi anayo muamuzi

    Jibu

    Me naona Bora abadilishe upepo

    Jibu

    Vizuri Sana uwamuzi wake kautendea vizuri

    Jibu

    Xhaka ni mchezaji wa Arsenal.msijisumbue

    Jibu

    Uamuzi anao yeye

    Jibu

    Uamuzi ni wa mchezaji mwenyewe

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Maamuzi niyake

    Jibu

    Duuh kazi ni kwako ubaki au uondoke

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Xhaka grant ana staili kubak zen gunner anamsaada mkubwa Sana katika timu kama hatamuah kubak atakuwah amefany maamuz sahihi kwa kipind hichi

    Jibu

    Hapo kazi ni kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Uamuzi anao yeye

    Jibu

    abaki apo apo arsenal panamfaa zaidi

    Jibu

    Uwamuzi anao yy

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Roho ya arteta kuondoka ni ngumu

    Jibu

    Xhaka ni mzito kuhama

    Jibu

Acha ujumbe