Nyota watano wa kikosi cha Yanga, Carlos Carlinhos, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, Farid Mussa, Yassin Mustapha ambao ni majeruhi na Haruna Niyonzima mwenye matatizo ya kifamilia hawako Lindi.

Nafasi ya Carlinhos wanaweza kucheza Deus Kaseke na Zawadi Mauya, nafasi ya Ninja wanaweza kucheza Lamine Moro, Dickson Job, Said Makapu na Bakari Mwamnyeto.

Meneja wa Yanga Afidh Saleh amesema wachezaji wengine wote wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo na kuhakikisha wanapambana vya kutosha ili kupata pointi tatu.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Sasa itakuwaje?
Poleni timu ya yanga
Duuhh
Duuh
Poleni sanaa utopolo