Kabu ya Yanga SC, jana ilianza kazi rasmi ya mazoezi makali ni baada ya kufuta safari ya kwenda jijini Arusha kwa ajili ya kambi fupi wameamua kujiandaa na mechi za Ligi Kuu wakiwa jijini Dar es Salaam.
Uongozi wa Yanga wameshtukia ratiba yao ya kambi wakiona ni kama watapoteza fedha na zaidi wakaamua kubaki palepale kambini Avic, huku jana wakianzia gym ili kuwapa m stamina wachezaji.
Klabu hiyo inajiandaa na mechi ya tatu ya Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC itakayopigwa Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma Oktoba 19.
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.