Yanga Yafanya Utaratibu wa Kurejesha Wachezaji Kabla ya Ligi Kuanza

Klabu ya Yanga imepanga kuwarejesha makocha wa timu hiyo Luc Eymael (Kocha Mkuu) na Riedoh Berdien (Kocha wa Viungo) ambao wapo nje ya nchi baada ya selikali kutangaza huenda ligi ikaruhusiwa kuendelea.

β€œTumepanga kuwakatia tiketi baada ya Rais kutangaza kuwa ndeg kutoka mataifa mengine zitaanza kuruhusiwa, kwa hiyo tunaangalia ndege gani itamfaa na kocha wetu anaweza kurejea ndani ya siku tatu (3) zijazo ili kuwa tayari kwa maandalizi”-Hassan Bumbuli.

Kuhusu golikipa Farouk Shikhalo Bumbuli amesema klabu ya Yanga itafanya juhudi zote kuhakikisha anarejea kwa wakati licha ya Kenya kufunga mipaka ya baadhi ya mikoa yake.

Farook Shikalo

Bumbuli anasema wachezaji wamepokea kwa furaha taarifa za kurejea tena kwa ligi.

β€œMwitikio wa wachezaji ni mkubwa kuhusu taarifa za kurejea kwa ligi. Nilizungumza na nahodha Papy Tshishimbi na nahodha msaidizi Juma Abdul, wote wanasema wame-miss kucheza. Bernard Mirrison naye amesema ame-miss kazi.”

32 Komentara

    Wanavyosema ni sahihi kabisa kwa maana ligi tumezimic

    Jibu

    hahaha washaanza kujihami hao ila ni jambo la muhimu kuanda kikosi kabla ya mapambano hongera zao waendelee kujitahidi ligi inakaribia wasije wakambuka bure maana wenzao wanejipanga kisawasawa

    Jibu

    Bora ligi irudi ili Simba tuchukue ubingwa wetu kihalali#Meridianbettz

    Jibu

    Ni kwer wanatakiwa kujipanga haswa mana walikuwa na hali mbaya ya kiuchumi mwanzo wa ligi

    Jibu

    Waache waje tu sisi wenyekombe letu tunawasubir kwa hamu

    Jibu

    Bora irudi maana kutangulia kutoka co ndo kuwahi kufika bg up yanga

    Jibu

    Habari njema kwa mashabik wa michezo

    Jibu

    Haya twawasubilia #Meridianbettz

    Jibu

    Safi Sana tunasubiri

    Jibu

    Bora irudi tuu ligi yetu maana hatuna sababu ya kuendelea kusubir

    Jibu

    bongo naona tunaforce mambo

    Jibu

    Bongo wanaforce kwel Mana sijui Kama wataweza

    Jibu

    Ni Jambo zuri itakuwah poa Kama wafanikiwah kuwaletah wote thanks meridian bet tz

    Jibu

    Baba jesca keshasema tarehe 1 mwezi 6 michezo ifunguliwe

    Jibu

    Bora ligi zirudi tumezimis sana

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Yanga oyeeee

    Jibu

    Maombi yao ya ligi kufutwa yamegonga mwamba

    Jibu

    Wazo zuri..Ila wenye ubingwa wao tuwape.

    Jibu

    Mimi naona swala la Afya lizingatiwe zaidi kama kwa wenzetu Ujerumani.

    Jibu

    Wawarudishe ili timu ifanye vizuri

    Jibu

    Daaah…!yanga wanavitisho hao

    Jibu

    Waje tu baba zao tunawasubiri kwa hamu

    Jibu

    Simba kama Simba tunataman hlo

    Jibu

    Rudi mtupe raha.

    Jibu

    Irudi tu

    Jibu

    Habari za kufurahisha sana ,yanga juu.

    Jibu

    Yanga yanga

    Jibu

    Zirudi tu pate raha

    Jibu

    swala la Afya lizingatiwe zaidi kama kwa wenzetu Ujerumani.

    Jibu

    Tunangojea kwa hamu

    Jibu

    Ngoja tujionee wenyewe

    Jibu

Acha ujumbe