Zaha Kuihama Palace Avutiwa na Everton.


Fowadi wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Ivory Coast, Wilfried Zaha, amewataka waajiri wake wa sasa wamwachilie ili ajiunge na Everton ambao wamefichua azma ya kumsajili.

Kocha Roy Hodgson wa Palace amethibitisha kwamba nyota huyo wa zamani wa Manchester United tayari amewasilisha ombi la kutaka kujiengua ugani Selhurst Park kufikia Oktoba 5, 2020, ambayo ni siku ya mwisho ya uhamisho wa wachezaji.

 

Zaha Kuihama Palace Avutiwa na Everton.

Zaha, 27, alifunga bao la pekee lililowasaidia Palace kuwalaza Southampton 1-0 katika mchuano wao wa kwanza katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu.

Hadi kufikia mwisho wa msimu uliopita wa 2019-20, Zaha alikuwa akihusishwa na uwezekano mkubwa wa kusajiliwa na Arsenal ambao badala yake walishawishika kumtwaa nyota Nicolas Pepe wa Ivory Coast.

Kushindikana kwa uhamisho wa Zaha hadi Arsenal ni jambo ambalo kocha Hodgson alisema kwamba liliathiri pakubwa matokeo ya mchezaji huyo msimu uliopita wa 2019-20.

 

Zaha Kuihama Palace Avutiwa na Everton.
 

“Wilfred hajatulia tangu uhamisho hadi Arsenal utibuke. Hata hivyo, tunajitahidi kumsadikisha aendelee kuwa mchezaji wetu. Tusubiri tuone yatakayotokea kati ya sasa na Oktoba 5,” akasema Hodgson ambaye ni kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

42 Komentara

    Itakuwa pouwa sana kwa Zaha, Ngoja tumuone kivingine huenda akawa mwiba zaidi

    Jibu

    Ila Everton timu kubwa

    Jibu

    Ni vzr san

    Jibu

    Uamuz ni wako

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Itakuwa vizuri kwasababu ana weza hakawa juu zaidi kwasababu uwamuzi ni wakwake yeye kwenda kokote kule

    Jibu

    itakuwa powa sana

    Jibu

    Zaha imefika wakati kutafuta changamoto
    Huko everton

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi Luis zaha

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    zaha ana uwezo sana kiukwel

    Jibu

    Ni vizuri aende anapopataka

    Jibu

    Bora mkono uende kinywani

    Jibu

    Everton imefanya vizuri @ meridianbettz

    Jibu

    Ni vizuri aende

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Ajafanya vibaya

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ni mchezaj mkubw San wa palac

    Jibu

    Karibu Evarton chama la wana#meridianbettz

    Jibu

    Badili mazingira zaha

    Jibu

    Itapendeza sn ukibadirisha upepo

    Jibu

    Zaha inabid atafute mazingira mengine hapo kashatumikia vya kutosha

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Zaha imefika wakati kutafuta changamoto

    Jibu

    Vita kokote wacha tungoje uhamisho wake kwenda huko anakohisi kutakuwa kuzuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

    nice

    Jibu

    Ni mchezaj mkubw San wa palac

    Jibu

    Iko vizuri sana

    Jibu

    Maamuzi yake zaha yapo sahihi

    Jibu

    Everton big team

    Jibu

    Timu kubwaa

    Jibu

    Zaha yupo vizuri sana ndio maana kila clabu zimekua zikimtolea macho

    Jibu

    yeye anaangalia penye mkwanja mnono

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    good news

    Jibu

    Zaha co mchezaj wakuchez hata everton angetafut timu ya hadhi ya kiwango chake co everton

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Itakuwa pouwa sana kwa Zaha, Ngoja tumuone kivingine huenda akawa mwiba zaidi

    Jibu

Acha ujumbe