Zaha Apokea Jumbe za Ubaguzi kwenye Mitandao ya Kijamii

Mshambuliaji wa klabu ya Crystal Palace Wilfried Zaha amepokea jumbe za ubaguzi kwenye mitandao ya kijamii baada ya ushindi waliopata ugenini dhodi ya timu ya Manchester City jana jumamosi.

zaha alifunga goli la ufunguzi dakika sita baada mchezo kuanza kwenye mechi iliyoisha kwa Palace kushinda 2-0, Zaha akisherekea goli lake la 50 kwenye EPL, alipata jumbe za kibaguzi pia alichapisha kwenye mtandao wa Instagram ukionyesha jumbe za kibaguzi, huku akisihi kampuni hizo kuweza kuchukua hatua zaidi.

Zaha

“huu ujumbe sio kwa sababu ya mimi kupata milioni za jumbe za kusema ‘tunasimama na wewe’ kuonewa huruma, sipo hapa kwa huo ujinga unaofanywa badala ya kuondoa tatizo lenyewe, sijari  kubaguliwa sababu siku hizi imekuwa sehemu ya kazi ninayoifanya, mimi ni mweusi najivunia kuwa mweusi.” zaha

Zaha

Wachezaji kadhaa wamekumbwa na ubaguzi wa rangi kwenye mitandao kwa miezi ya hivi karibuni hususani kwenye kwenye ligi kuu ya Uingereza EPL, shirikisho la mpira la Uingereza limekuwa likisistiza kampuni za media kuhamisha kupinga ubaguzi.

Mapema mwaka huu Zaha aliacha kupiga goti kabla ya mchezo kuanza ili kupinga ubaguzi.


JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE!

Achana na ndoto za usingizini za kuokota burungutu la pesa, amkia upande wa ushindi halisi kutoka Meridanbet kwenye shindano la Expanse linalojumuisha michezo pendwa ya sloti za mtandaoni iliyopo kwenye promosheni ya Expanse kutoka Meridianbet.

JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE! Jinyakulie sehemu ya mgao wa Tsh 1,000,000 kupitia shindano la Sloti za Expanse🔥 Litakalo fika mwsiho Oktoba 31, 2021 saa 5:59:59 usiku‼ Bofya hapa Kujua zaidi

BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Acha ujumbe