Zlatan Ibrahimovic Arejea Mazoezini Milan

Nyota wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic  amerejea mazoezini baada ya kufanya mazoezi peke yake kwa mdogo, sasa yuko ‘fiti’ kuanza kwenye mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Shamrock Rovers Jumapili.

Nyota huyu mwenye miaka 38 alikuwa akifanya mzaoezi peke yake bila wachezaji wenzake baada ya kupata jeraha mguu wake wa kushoto.

Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic

Ibrahimovic amekosa mechi za kirafiki dhidi ya Vicenza na Brescia. Kwa mujibu wa vyanzo kutoka ndani ya dimba la Millano, nyota huyu yuko fiti na tayari amesharejea mazoezini.

Ibra anatarajiwa kuwa tayari kuingia dimbani katika mechi ya awali ya Ligi ya Europa. Tayari ameshasaini mkataba wa kusalia klabuni hapo kwa msimu mzima huku akitarajia kutimiza miaka 30 mwezi oktoba.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

32 Komentara

    Good

    Jibu

    Good news 👍@meridianbettz@meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari nzuri Sana kwàkiungo mzuri Zlatan kuludi milan

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Ibrahimovic naona sasa atafanya vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    It’s so gud

    Jibu

    Zlatan makini sana kujiunga na wababe

    Jibu

    Ibrahimovic kibabu kizee kibishi sana

    Jibu

    Ibrahimovic pole kwa kupata. jeraha

    Jibu

    safi

    Jibu

    Licha ya humri wake kumtupa mkona lakini ibrahimovic yupo vizuri sana

    Jibu

    Ibra yuko vizur sanaa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Habar nzur

    Jibu

    Zlatan milan ni sehem aiocheza kwa muda mrefu sana na nisehem ambayo yupo komfotabo kucheza

    Jibu

    Ibrahimovic kashazeeka

    Jibu

    Zlatan ni mchezaj makini

    Jibu

    Safi sana zaltan

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Habari njema kwa Milan jembe anarudi uwanjani kuendelea kulisongesha ila Ibrahimovic mbishi sana

    Jibu

    Safi tu

    Jibu

    Imekaa poa kabisa

    Jibu

    pamoja na kuwa umri umemtupa mikono ila movic bado anatamba sana na anawika sana katika soka

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Licha ya humri wake kumtupa mkona lakini ibrahimovic yupo vizuri sana

    Jibu

Acha ujumbe