Milan wanamuhitaji nahodha wao Zlatan Ibrahimovic ambaye anaonekana kuwa kwenye sintofahamu ya kuwepo kwenye mechi dhidi ya Benevento Jumamosi.
Nyota huyu raia wa Sweeden ameimarika kutoka katika majeraha aliyokuwa anayauguza ambayo yalimzuia kucheza mechi mbili zilizopita, dhidi ya Sassuolo na Lazio.
Ibrahimovic alishirikia na kikosi kwenye mazoezi lakini hakuweza kuingia dimbani dhidi ya Lazio, na kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, ameimarika vyema na sasa yupo tayari kurejea dimbani dhidi ya Benevento.
Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, Milan wamejikuta wakisalia nafasi ya tatu kwenye Serie A, huku upinzani ukiwa mkubwa sana kwenye nne bora. Milan wanagongana pointi na Napoli na Juventus.
Milan wataongeza nguvu ikiwa staa huyu wa miaka 39 ataungana na kikosi chake wikiendi wikiendi wakipambana kuhakikisha wanalinda nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa.
Mechi tano tu zimesalia kwa Stefano Pioli na kikosi chake kubadili mambo na kupambania vyema nafasi yao, kabla meza haijapinduliwa na Ibrahimovic anaenda kuwa sehemu muhimu ya mchaka mchaka huo.
KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.
Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?
Adelta
Pole Sana kijana
Venerose
Ingia uwanjani kwa kishindo
Johnmary jo
Hawapaswi kuwa na wasiwasi afanye maandalizi ya kutosha ili timu isongembele#meridianbett#
aisha
Big up kwa ibra
Issa
Kadabra mtu mwingine
Sarah
Pole yake
Magdalena
Safi Sana zlatan
dorophina
Pole yake movic kwa majeraha
Lydia Emmanuel Magoti
Pole sana