Zlatan Kuchelewa Kurejea Dimbani

Kulikuwa na wasi wasi mkubwa juu ya kurejea dimbani mapema kwa mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic, baada ya kuripotiwa kupata jeraha la enka katika ripoti za awali Jumatatu.

Hata hivyo, Zlatan anaripotiwa kuwa atalazimika kusubiri kurejea uwanjani baada ya vipimo kuonesha kuwa ana majeraha ya misuli.

Nyota huyu alihofiwa kuwa huenda angekuwa ameumia zaidi, lakini taarifa za vipimo vyake zilirejesha matumaini kuwa hakuwa ameumia enka.

Ripota wa kituo kimoja cha habari aliripoti kuwa nyota huyu mwenye miaka 38, alipata jeraha wakati wa mazoezi Jumatatu, na atatakiwa kufanyiwa vipimo baada ya siku 10 zaidi kuona maendeleo yake.

Kama mambo yakienda kama inavyotarajiwa basi staa huyu atarejea dimbani ndani ya mwezi mmoja kutoka leo. Hatakuwa amechelewa kuwasaidia Milan kupambana kumalizia kibarua walicho nacho.

Mshambuliaji huyu wa zamani wa Swiden alipata jeraha kama hili mwaka uliopita na kujikuta akikosa mechi za mapema Januari na Februari

48 Komentara

    Get well soon Zlatan Ibrahimovic!!!

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Dah noma sana

    Jibu

    Pole kwake

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Atapona lakini kwa muda mrefu Sana sababu umri umeenda sana

    Jibu

    Ni sawa kwa sababu hayuko sawa.

    Jibu

    mungu atamsaidia atarudi kama zamani dimbani

    Jibu

    Get well soon 🙏🙏 🙏🙏🙏 thnks kwa gud news

    Jibu

    Ni bahati mbaya kwake

    Jibu

    Duuh pole sana

    Jibu

    Pole Sana kwake soon atarudi dimban

    Jibu

    Atakuwa sawa

    Jibu

    Duh thanks kwa gud news

    Jibu

    Daaah pole

    Jibu

    Kwa msimu huu ukiisha ni bora astaafu

    Jibu

    asanteni meridian kwa habari nzuri

    Jibu

    Hatar na nusu

    Jibu

    Daah noma sana

    Jibu

    Kwanza pole Sana zlatn kurejea dimbani kutokan na majeraha vzr aendelee kuchek afya muhimu

    Jibu

    One of the best ever who has performed in every league he has gone too. #meridianbettz

    Jibu

    Get well soon champ

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari njema

    Jibu

    Namutakia apone haraka kuja kutuonyesha vitu vya kiutu uzima#meridianbettz

    Jibu

    Mungu atamfanyia wepesi apone baraka sana#meridiabettz

    Jibu

    Pole sanaa

    Jibu

    Atapona lakini atachukua muda kwa kuwa umri umeenda

    Jibu

    MUNGU amsaidie Ibrahimovic# meridianBetTZ

    Jibu

    Pole sanaaa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Duuh ninoma

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    U will be fine champ

    Jibu

    Tunampa pole sana

    Jibu

    Mungu amponye#meridianbettz

    Jibu

    Atarudi tu na atakuwa imara kwa uwezo wa mungu

    Jibu

    umri nao ushaanza kumtupa mkono

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Duuuh..!ibrahimovic hanamiaka 18 kweli sura na mri tofauti..!pole sana mpambanaji utapona tu na utarudi kwenye ali yako

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    InshaAllah mwenyezi mungu atamuafu

    Jibu

    Mwili wa mazoezii huo ajiamini hata chukua mda atapona haraka. Pole yake

    Jibu

    gud newz asante meridianbet

    Jibu

    Habari mbaya kwake

    Jibu

    Daa pole yake

    Jibu

    get well soon

    Jibu

Acha ujumbe