Mbio za kuwania Ballon d’Or tayari zimeanza, na kiungo wa Chelsea na Italia Jorginho ni miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo kubwa baada ya kushinda Champions League na ubingwa wa Ulaya.
Fowadi wa zamani wa Chelsea na Italia Gianfranco Zolandiyo jina la mwisho kuonesha sapoti kwaa Jorginho mwenye umri wa 29.
Jorginho anastahili tuzo ya Ballon d’Or analeta mchango mzuri kwenye timu, nilikuwa na bahati sana kuwa naye kwenye timu ya Chelsea, nilikuwa msaidizi kwa Maurizio Sarri na ninajua nini aicholeta,” Zola alisema.
“Anastahili siyo kwa sababu ya kiwango chake binafsi cha hali ya juu alichokionesha, lakini kwa sababu ya timu alizozichezea hazikupewa hesabu ya kushinda.
hii inafuata baada ya Lorenzo Insigne kusema kwamba Jorginho anapaswa kuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda Ballond’Or.
“Ni haki kumzungumzia, nadhani yupo kwenye orodha ya wanao wania Ballon’Or anastahili alisema mchezaji huyo wa Napoli na timu ya Italia.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!
Ernest
Hapana sio kweli kabisa