Steve Thompson Mshindi wa kombe la dunia kwa mchezo wa Rugby ambaye alipata ugonjwa wa kusahau  akiwa na miaka 42, atachangia  ubongo wake kwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa magonjwa ya trauma.

Thompson mwenye umri wa miaka 43, ni miongoni mwa kundi la wachezaji wa Suing wenye matatizo ya akili.

Steve Thompson
Steve Thompson

Mradi wa Concussion, utatumia ubongo wake kufanya utafiti huo wa chronic traumatic encephalopathy (CTE), ambapo utafiti huo utafinyika siku ambayo atakufa kwani utafiti utafanyika kwa ubongo uliokufa.

Thompson alisema, “ameamua kujitolea ubongo wake, kwa ajiri ya kufanya mchezo kuwa ni salama.

Aliongezea, “najitolea ubongo ili vijana na watu waupende huu mchezo, sipendi  wapitie nilicho pitia, hii ni kwa ajiri ya kizazi chetu kujitolea ubongo kwa ajiri ya maendeleo bora kitabibu ili kufanya mchezo uwe salama.”

Steve Thompson ambaye alikuwepo katika kikosi kilichochukua ubingwa wa dunia wa Rugby mwaka 2003, awali alitangaza kustaafu 2007 baada ya kupata majeruhi ya shingo na kurudi na kustaafu tena disemba 2011.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa