Rais wa klabu ya Real Madrid, Frolentino Perez ambaye pia ni rais wa Ligi Supa la Ulaya (European Super League) amesema ya kwamba, madai ya Ligi hiyo itaua ligi za ndani ya nchi sio ya kweli. 

Rais aliongeza kwa kusema kuwa ligi hiyo haijafutwa bali imesimama kwa muda kutokan ana timu 6 ambazo zinashiriki Ligi Kuu ya England (EPL) kujitoa japo kuwa awali zilikubali kushiriki ambapo ni pamoja na Chelsea, Liverpool, Arsenal, Manchester United na Tottenham Hotspurs.

Perez - Europian Super League

Ligi hiyo ambayo ilianzishwa hivi karibuni imekuwa ikipingiwa na wadau mbalimbali wa soka pamoja na mashabiki, ambapo wameweka wazi ya kuwa itavuruga utamu wa EPL pamoja na mashindano mengine.

Perez anaamini ya kwamba inawezekana wamekosea katika kuulezea mradi huu na bado anamatumaini kwamba ni ligi sahihi kwa kuwa mradi huo ulianzishwa miaka mitatu iliyopita.

Perez - Europian Super League Fans

Nasikitishwa na hiki kinachoendelea, tumekuwa tukiufanyia kazi mradi huu kwa miaka mitatu sasa.” alisema Perez.

Akiongezea kwa kusema ” Katika timu 12 anzilishi msimu uliopita, tulipata hasala ya Euro milioni 650. Ila msimu inaweza kuwa mara mbili au tatu ya hiyo“.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

perez, Super League Imesimamishwa kwa Muda – Perez, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa