Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars rasmi imetupwa nje rasmi kushiriki michuano ya AFCON 2022 kule Cameroon. Taifa Stars imetolewa huku ikiwa bado na mchezo mmoja, hii ni baada ya kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Equatorial Guinea.

Stars, Taifa Stars Out AFCON 2022, Meridianbet
Aishi Manula

Stars inarudi nyumbani kumalizia mchezo wa mwisho wa kufuzu, ikicheza dhidi ya Libya ambayo leo imepokea kipigo cha magoli 5-2 toka Kwa Tunisia.

Stars, Taifa Stars Out AFCON 2022, Meridianbet

Equatorial Guinea wanafikisha pointi 9 zinazowafanya waungane na Tunisia wenye pointi 13 ambao wanaongoza kundi J na wemefuzu AFCON.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Stars, Taifa Stars Out AFCON 2022, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa