Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema ana hamu kubwa ya kushuhudia kitakachotokea katika mchezo wake wa kwanza wa Kariakoo Derby dhidi ya Simba, akieleza kuwa maandalizi ya timu yake …
Makala nyingine
Klabu ya Yanga SC imezua gumzo kubwa katika soka la Tanzania baada ya kumtambulisha mshambuliaji wa Kitanzania Selemani Abdallah Mwalimu, maarufu kama Gomezi, ambaye msimu uliopita aliitumikia Simba SC kwa …
Licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso katika mchezo wa pili wa Kundi B wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, matumaini ya Tanzania …
Yanga SC imeonyesha makali yake kuelekea msimu mpya baada ya kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao 7-2 dhidi ya timu ya Magereza Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki uliochezwa …
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC na Simba SC utapigwa Agosti 12, 2026, kuanzia saa 2:30 usiku katika Uwanja …
Klabu za Tanzania, Simba SC na Young Africans (Yanga SC), zimeendelea kuonekana kwenye viwango vya klabu bora Afrika vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), huku timu hizo mbili zikifuatana …
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao wa mashindano. Shalulile amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania baada ya …
Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya Afrika Kusini, banyana banyana Des Ellis, amesema kikosi chake sasa hakina nafasi ya kupoteza pointi nyingine baada ya kufungwa mabao 2-1 na …
Klabu ya Simba SC imeendelea kufanya maboresho ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27 baada ya kuachana na winga wa kimataifa wa Kenya, Mohammed Bajabeer, ambaye hatakuwa sehemu ya mipango …
Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026, inaanza rasmi kampeni yake katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON …
Licha ya tayari kuwatambulisha nyota wapya wanne, Juma Abushiri kutoka Fountain Gate FC pamoja na Mohamed Mussa, Abdulnasri Muhamed na Hussein Mihambo kutoka Mashujaa FC, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu …
DIRISHA la usajili lipo wazi na kila timu yenye nguvu sokoni imekuwa ikipambana kusaka wachezaji kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao, kati ya timu ambazo zimeanza kwa kasi kwenye ishu …
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi baada ya wachezaji pamoja na benchi la ufundi kushindwa kutumia chumba rasmi cha …
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Backer, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Singida BS, akisisitiza kuwa wanatarajia ushindani mkubwa huku lengo lao kuu likiwa …
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Federation Cup) utafanyika Julai 4, 2026 katika Uwanja wa …
Kocha wa Coastal Union, Fikiri Elias, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya TRA United utakaochezwa Juni 24, 2026, akieleza kuwa timu yake …
Kocha wa Yanga SC, Abdi Hamid Moallin, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo muhimu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaochezwa Juni 24, 2026, akieleza kuwa …

