Tetesi zinasema mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 27, analengwa na Manchester City kama watashindwa kumpata mshambuliaji wa borussia dortmund, Erling Haaland.

Manchester City na Chelsea zote zimembaini mshambuliaji wa Inter Milan Romelu Lukaku, 27, raia wa Ubelgiji kama mchezaji wao mbadala ikiwa zitashindwa kumsajili Haaland, 20.

Tetesi zinasema Jack Grealish, 25, huenda akakosa kuhamia upande wa Pep Guardiola, huku City ikikatishwa tamaa na thamani yake ya pauni milioni 100 kwa kiungo huyo wa kati wa England.

 

Aston Villa

Tetesi zinasema Manchester United imetoa ofa kwa mshambuliaji wa Argentine Aguero, 32, ambaye ataondoka Manchester City msimu huu, huku Chelsea, Inter Milan na Paris St-Germain wakimuwania.

Tetesi zinasema Mshambuliaji Lionel Messi, 33 ameiambia Barcelona kumsajili Aguero, na Muajentina mwenzake ili kusaini mkataba wake na klabu hiyo ya Katalunya.

Tetesi zinasema Mlinzi wa RB Leipzig na kiungo wa Ufaransa wa chini ya miaka 21 defender Ibrahima Konate, 21, amefanyiwa uchunguzi wa matikabu ili kujiunga na Liverpool.

Mchezaji nyota wa Leeds United ambaye usajili wake ulivunja rekodi Rodrigo, 30, hajaridhika kusalia uwanjani Elland Road na huenda akarejea La Liga ili kurejea katika kikosi cha Uhispania.

Kiungo wa kati wa Argentina Rodrigo de Paul, 26, anapania kuhamia Leeds United ikiwa ataondoka klabu ya Udinese ya Italia msimu huu, licha ya Atalanta ambayo imejikatia tiketi ya Champions League kumtaka.

Burnley huenda wakamsajili mkufunzi wa zamani wa Sheffield United Chris Wilder, 53, wakimkosa Sean Dyche, 49 – ambaye analengwa na Crystal Palace na Newcastle – ataamua kuondoka Turf Moormsimu huu wa joto.

Tetesi zinasema Crystal Palace, West Ham na Wolves wanamfuatilia mlinzi wa Stoke City na Australia Harry Souttar, 22.

Kiungo wa kati wa Sassuolo na Italia Manuel Locatelli, 23, ambaye amekuwa akivutia Manchester City na Real Madrid katika miezi ya hivi karibuni, anatarajiwa kujiunga na Juventus msimu ujao.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema Arsenal, Leicester City na Strasbourg wanamtaka mlinzi wa Valencia Mfaransa Ismael Doukoure,17.

Juventus itatafuta kitita cha kumhamisha kiungo wa kati wa Lyon, Houssem Aouar, 22, kwa kumuuza mchezaji raia wa nchi yake ya Ufaransa Adrien Rabiot, 25, na Aaron Ramsey, 30 wa Wales.

Peterborough United wameweka kitita cha angalau pauni milioni 5 kwa mfungaji wa mabao maarufu Jonson Clarke-Harris, 26, katika Ligi One, ambaye amehusishwa na Bournemouth na Sheffield United.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa