Tetesi za soka barani Ulaya leo zinasema:-

Tetesi zinasema, Manchester United watatathmini uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa England Declan Rice, 22, katika mkataba wowote kati yao na West Ham utakaomuhusisha Jesse Lingard, 28.

Tetesi zinasema, Leeds United wamejiunga na kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, mkataba wake utakapokamilika mwisho wa msimu huu.

Tetesi zinasema, Hatima ya mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe katika klabu ya Paris St-Germain haijulikani baada ya nyota huyo aliye na umri wa miaka 22 kukataa kusaini mkataba mpya.

Tetesi za soka

Tetesi zinasema, Mbappe hatasaini mkataba mpya PSG kwa sababu anataka kujiunga na Real Madrid.

Tetesi zinasema, Real Madrid wanajiandaa kumtumia mshambuliaji wa Brazil Vinicius Junior, 20, katika mkataba wa kumsajili Mbappe msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Winga wa Real aliye na umri wa miaka 29 Mhispania Lucas Vazquez, ambaye mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu, hajaamua kuhamia Bernabeu licha ya Manchester United na Chelsea kuonyesha nia ya kutaka kumnunua.

Tetesi zinasema, Chelsea inapania kuwasajili washambuliaji Erling Braut Haaland, 20, wa Borussia Dortmund na Aguero wa Manchester City msimu huu wa joto.

Tetesi za soka.

Tetesi zinasema, Lyon wameweka Euro 25milioni kama bei ya awali ya mchezaji wa safu ya kati na nyuma Joachim Andersen, 24, ambaye yuko Fulham kwa mkopo. Manchester United na Tottenham pia zinamnyatia.

Tetesi zinasema, Winga wa Japan Takumi Minamino, 26, anasema alishangazwa na uamuzi wa Liverpool kumtoa kwa mkopo kwenda Southampton mwezi Januari.

Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool na mchezaji wa kimataifa wa Brazil Philippe Coutinho, 28, ni miongoni mwa wachezaji tisa watakaouzwa na Barcelona msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Sevilla wanamtaka mshambuliaji wa Wolves Mhispania Rafa Mir, 23, ambaye kwa sasa yuko klabu ya Huesca kwa mkopo.

Tetesi zinasema, Liverpool wamemchagua kiungo wa kati wa AZ Alkmaar Mholanzi Teun Koopmeiners,23, kujaza pengo litakaloachwa na Georginio Wijnaldum, 30.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya, Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa