Tetesi zinasema, Everton wanataka kumsajili nyota wa Wolves na England Conor Coady mwenye umri wa miaka 28.

Chelsea wanataka kujenga uhusiano mzuri na Borussia Dortmund kwani wanatarajia kusajili wachezaji wao wawili bora zaidi – mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20, na kiungo wa kati wa Uingereza 17 Budaham.

Manchester United wamepata ombi la kufungua ofa ya pauni milioni 50 kwa beki wa Real Madrid na Ufaransa Raphael Varane, lakini Real wanataka pauni milioni 80 kwa mchezaji huyo wa miaka 28.

Tetesi zinasema, kuondoka kwa Sergio Ramos kutoka Real kunaweza kudhoofisha mipango ya United ya kumsajili Varane baada ya wababe hao wa Uhispania kufungua mazungumzo ya mkataba mpya na beki huyo wa kati.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, PSG wanajiandaa kuweka mezani ombi la pili kwa Hakimi la euro 70m (Pauni milioni 60).

Tetetsi zinasema, Roma watajaribu kumsajili kiungo wa Aston Villa na Brazil Douglas Luiz, 23, ikiwa watashindwa kumpata kiungo wa Arsenal na Uswizi Granit Xhaka, 28.

Tetesi zinasema, Crystal Palace wamefanya mawasiliano na mwakilishi wa meneja wa zamani wa Borussia Dortmund Lucien Favre wakati wanaendelea na utaftaji wa meneja mpya.

Albert Lokonga, 21 wa klabu ya Anderlecht na kipa wa Sheffield United na England Aaron Ramsdale, 23, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Arsenal wakati Mikel Arteta anaonekana kurekebisha kikosi chake. Kiungo wa kati wa Ubelgiji Lokonga anasemekana kuwa na thamani ya pauni milioni 17.5.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Leicester City wanatumai Youri Tielemans, 24, atasaini kandarasi mpya na kilabu hiyo huku kukiwa na uvumi kuhusu hatima yake . Kiungo huyo wa Ubelgiji amekuwa akihusishwa na Manchester United na Liverpool.

Tetesi zinasema Leicester City wameongeza nia yao ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa RB Salzburg na Zambia Patson Daka, 22.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp anafuatilia hali ya mshambuliaji wa Real Sociedad na Sweden Alexander Isak. Mchezaji huyo wa miaka 21 alifunga mabao 17 kwenye La Liga msimu uliopita na kuisaidia La Real kushinda Kombe la Copa del Rey.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa