Kamati ya Uchaguzi wa TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Benjamin Karume amewatangaza waliokosa vigezo vya kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa nafasi ya Urais.

ALLY MAYAY TEMBELE
– Hakuthibisha Vyeti vyake kwa Kamishna wa Viapo
– Hakukamilisha idadi ya wadhamini [Endorsement]

ALLY SALEH
-Hakuthibisha Vyeti vyake kwa Kamishna wa Viapo
– Hakuwa na wadhamini [Endorsement]

OSCAR OSCAR
– Hakuwa na wadhamini [Endorsement]

Wagombea Uraisi wa TFF waliosalia kuendelea kwenye kinyang’anyiro hicho nafasi hiyo ni Hawa Mniga, Wallace Karia na Evans Mgeusa.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa