Mchezaji nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Baraka Majogoro amejiunga na klabu ya KMC kwa uhamisho huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 ataitumikia …
Makala nyingine
Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza kocha mkuu mpya wa ambaye ataingoza klabu hiyo kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibu kutoka nchini Burundi Joslin Sharif kwa mkataba wa mwaka mmoja. …
Klabu ya Geita Gold imeweka wazi kufanikiwa kumbakiza nyota wao George Mpole pamoja na Kocha Mkuu wa klabu hiyo Fred Felix Minziro. Minziro alipata mafanikio makubwa akiwa na kikosi hicho …
Wachezaji nyota wa klabu ya yanga Mayele na Aucho ambao walikuwa mapumzikoni wamerejea rasmi kwenye kikosi cha timu hiyo ambacho kimeweka kambi kigamboni Avic Town kwa ajiri ya maandalizi ya …
UWANJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuzu CHAN, timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars imefanikiwa kuibuka na ushindi mbele ya Somalia. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Somalia 0-1 Tanzania …
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ambayo watakwenda nayo msimu ujao ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Mataji hayo ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu …
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 28, Yanga wachezaji wao rasmi wameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Avic Town, Kigamboni ilipo kambi yao. Jana jioni …
Uongozi wa Mtibwa Sugar umebainisha kwamba utaweka kambi kwenye mashamba ya miwa yaliyopo Manungu, Morogoro kwa maandalizi ya msimu mpya. Akizungumzia hilo, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema …
Golikipa namba moja wa klabu ya KMC Juma Kaseja bado ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo licha ya kuwepo kwa tetesi kuwa yupo kwenye listi ya wachezaji ambao klabu …
BAADA ya kuachana na Kocha Mkuu, Malale Hamsin Uongozi wa klabu ya Polisi Tanzania umefunguka kuwa kikosi chao kwa sasa kitakuwa chini ya kocha Msaidizi, George Mketo. Tayari Polisi Tanzania …
Msemaji na muhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Sunday Manara amerusha vijimbe kwa lugha ya picha baada ya kuzuiwa kujishughulisha na mchezo wa soka ndani na nje ya nchi kwa …
Klabu ya Pan African inatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa maafisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Akizungumzia uchaguzi huo, Ofisa Habari …
kiungo Mshambuliaji wa Azam FC, Awesu Awesu amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja. Baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Azam Awesu sasa amesajiriwa rasmi …
BAADA ya kusajiliwa Azam, straika, Abdul Sopu ameahidi kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo kwa msimu ujao. Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa kwenye dirisha kubwa kutokana na kiwango …
Kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemfungia Ofisa mhamasishaji wa Yanga, Haji Manara kwa miaka miwili pamoja na faini ya Milioni 20 kwa kosa la kumtishia na …
Ofisa habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameteuliwa kuwa balozi wa mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Cambiasso. Mashindano hayo yatajumuisha timu kutoka nchi mbalimbali ikiwemo …
Azam FC wamefunguka kwa kuweka wazi kuwa wanatamani kucheza mchezo wa kirafiki na klabu ya Simba nchini Misri ambako klabu hiyo imepanga kwenda kuweka kambi kwa ajiri ya kujiandaa na …
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa wataweka Kambi maalumu kwa ajili ya maandalizi ya michezo inatayotarajia kuanza hivi karibuni kwenye msimu wa 2022/23 katika jiji la Dar …
JE una cheti cha kidato cha nne na unaweza kufundisha mpira? basi Biashara United panakufaa kwa sababu wanahitaji kupata Kocha Mkuu kwenye kikosi chao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Biashara United …
Benchi la ufundi la Coastal Union limefunguka kuwa kuwapoteza nyota wao Akpan na Sopu jambo hilo linawapa changamoto kubwa katika kutengeneza kikosi chao cha msimu ujao. Akpan amejiunga na klabu …