Makala nyingine

UONGOZI wa timu ya Geita Gold FC unatarajia kuweka kambi nchini Burundi kwenye mji wa Bujumbura kwa ajili ya kujiandaa na mashindano yote yanayowakabili kwa msimu unaotarajia kuanza August. Ofisa …

Kiungo wa Simba Augustine Okrah amefunguka kuwa anataka kuwa mfungaji bora wa timu hiyo ili kuwapa furaha mashabiki na kuwa mchezaji wa kutumainiwa. Okrah amefunguka hayo baada ya kufunga bao …

Kiungo nyota wa klabu ya simba Mzamiru Yassin leo amesaini kandarasi mpya itakayomuweka kwenye viunga vya msimbazi kwa miaka miwili zaidi kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2024. Mzamiru yassin alijiunga …

BAADA ya kumtambulisha kiungo mshambuliaji kutoka Ghana, James Akaminko, Uongozi wa Azam FC umefunguka kuwa bado usajili wa beki kisiki ambao utakamilisha usajili wao kwenye dirisha kubwa la usajili. Azam …

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen ametaja sababu za kuwaita nyota 24 katika kikosi chake. Stars wamebakiwa na hatua tatu kwa ajili ya kufika …

Simba Asepa Dar kibabe

LEO alhamis wachezaji wa Simba na benchi la ufundi wameondoka kuelekea mji wa Ismailia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi ya wiki tatu ya kujiandaa na msimu ujao. Kocha …

Msuva Atoa Mazito

BAADA ya kushinda kesi dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Simon Msuva amefunguka mazito ambayo alikumbana nayo akiwa huko. Msuva amesema kuwa “Nipo hapa kwa niaba ya wachezaji …

Mchezaji mkongwe wa Tanzania Prisons na nahodha wa timu hiyo Benjamini Asukile alifunguka kuwa aliwaambia viongozi na mabosi wake kuwa kwa vyovyote itakavyokuwa lazima wataibakiza timu yao kwenye ligi hiyo. …

Usajiri unaoendelea ndani ya kikosi cha Azam FC unawapa jeuri wachezaji wa klabu hiyo kiasi cha kubeza usajili ambao unafanywa na klabu zingine hususan Simba na Yanga ambao wamekuwa wakisajili …

Kiungo wa Kimataifa wa Ghana Augustine Okrah ambaye jana alitambulishwa na Simba kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo amesema anataka kufanya vitu vingi vikubwa kwenye timu hiyo, lakini muhimu taji …

PENGINE muda wowote beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michale atatambulishwa kuwa mchezaji wa Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja kwa mujibu wa taarifa za mmoja wa viongozi …

BAADA ya Metacha Mnata kutambulishwa na Singida Big Stars, Uongozi wa Polisi Tanzania umefunguka kuwa kipa huyo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo. Metacha alitambulishwa na klabu …

UONGOZI wa klabu ya Ihefu umefunguka kuwa wanatarajia kuwatambulisha wachezaji wao wapya na kuanza kambi kuanzia wiki ijao. Ihefu walifanikiwa kupanda daraja msimu uliomalizika hivi karibuni baada ya kutwaa ubingwa …

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ameweka wazi viongozi wa timu yake wamekuwa mstari wa mbele kubariki kuweza kupata changamoto mpya ikiwa atapata sehemu nzuri. Manula mwenye clean sheet …

Thobias Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa kwa sasa wanavuta pumzi kidogo wakijipanga kufanya kweli kwenye usajili mara baada ya kubaki kwenye ligi. Mtibwa Sugar ilikuwa inapambana …

Simba SC wanaendelea kushusha vifaa kwani leo jumatatu wamemtambulisha rasmi kiungo wao kutoka Kagera Sugar, Nassoro Kapama. Kapama kwa msimu uliopita chini ya Kocha Mkuu wa kikosi cha Kagera, Francis …

Mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Abdul Suleiman ‘Sopu’ ameonyesha kuwa na mzuka wa kuanza maisha yake mapya kwenye klabu ya Azam ambapo amefunguka kuwa mashabiki na …

BENCHI la ufundi la Namungo limefunguka kuwa majeraha ya straika wao, Relliants Lusajo ndio yaliyomkwamisha kwa msimu huu kufanya vizuri kwenye ligi. Lusajo kwa msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 10 …

1 2 3 11 12 13 14 15