Mshambuliaji nyota wa klabu ya Yanga Fiston Mayele, je huu ndio msimu wake wa mwisho na mabingwa wa Tanzania bara wa NBC Premier League? Awali kulikuwa na taarifa kuwa mshambuliaji …
Makala nyingine
BAADA ya kumaliza ligi katika nafasi ya nane kwenye msimamo, Uongozi wa Polisi Tanzania kwa sasa umeweka mikakati ya kuwasajili nyota wa kimataifa kwa ajili ya kuboresha zaidi kikosi chao …
Klabu ya Yanga SC imempitisha Eng Hersi Said kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais ambaye amepita bila kupingwa kutokana na kutokuwepo mgombea mwengine ambaye aliomba kugombea kiti cha urais. …
Mabingwa wa Ligi kuu ya Tanzania ‘NBC Premier League’ Yanga SC imeonesha utofauti kwenye mapokezi na ushangiliaji ‘Trophy parade of honour’ baada ya kukabidhiwa rasmi kombe lao jijini Mbeya na …
Klabu ya Simba sports Club inayoshiriki ligi kuu ya nchini Tanzania NBC Premier League imepanga kuwashukuru mashabiki wake kwenye mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar FC. Simba inakwenda …
Shirikisho la mpira duniani FIFA limetangaza sheria mpya ambazo zitakuwa zinazibiti wachezaji wanaotelewa kwa mkopo kwa timu ambao hawatatakiwa kuzidi wachezaji sita. Sheria mpya zilizopendekezwa ba shirikisho lampira duniani FIFA …
Hisia za mashabiki wa soka Tanzania leo zitaelekezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni …
DR Congo ina vilabu viwili vikubwa [AS Vita na TP Mazembe] ambavyo vitatikisa soka la Afrika! Lakini ukiangalia wachezaji wanaoanza kwenye kikosi cha timu ya taifa hakuna mchezaji wa AS …
Klabu ya Yanga imejiandaa kufanya mabadiliko kwenye mchezo wao dhidi ya Azam kwenye ligi kuu ya Tanzania bara ‘Nbc Premier League’ jumamosi hii. Klabu ya Yanga imejipanga kufanya tofauti kwenye …
Klabu ya Simba imeridhia ombi la kuvunja mkataba na kocha wake Didier Gomes baada ya majadiliano ma maridhiano ya pande zote kuridhia kwa manufaa ya pande zote, pia imemteua kocha …
Benki ya biashara, National Bank of Commerce (NBC) ndio mdhamini rasmi wa Ligi kuu ya Tanzania bara kwa msimu wa 2021-22. Sasa rasmi ligi ya Tanzania bara itaitwa NBC Tanzania …
Mkuregenzi mkuu wa klabu ya Yanga Senzo Mbatha ambaye awali alikuwa mkuregenzi wa simba na Kaizer Chief ya Sauzi Afrika amemsifia, Haji Manara kuwa anauwezo mkubwa wa kuhamasisha mashabiki na …
Timu ya Yanga ambao ni mabingwa wapya wa taji ya Ngao ya Jamii leo wameondoka na kuwafuata wapinzani wao kwenye Ligi Kuu Bara Kagera Sugar. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, …
Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu wao wa jiji la Dar Es Salaam Simba SC katika dimba la Mkapa Stadium mchezo wa Ngao ya Jamii …
Klabu ya Simba inatarajia kuhitimisha kilele cha wiki ya Wekundu wa Msimbazi maarufu kama “Simba Day” siku ya Jumapili katika uwanja wa taifa, Benjamin Mkapa Stadium ambapo kutakuwa na mambo …
Wallace Karia anakuwa mgombea pekee wa nafasi ya Kamati ya Urais wa TFF baada ya wagombea wengine wawili [Hawa Mniga na Evance Mgeusa] kukosa sifa za kuendelea na uchaguzi kwa …
Kocha mkuu wa timu ya Simba SC Didier Gomes ameeleza kuwa mechi ya tarehe tatu ya mwezi ujao kati yao na Yanga SC itakuwa ni kama mechi ya fainali na …
Shirikisho la soka Tanzania, TFF limetoa taarifa rasmi kutoka CAF kuhusu uhakika wa Tanzania kutoa timu nne zitakazoshiriki makombe ya Afrika, huku wakieleza kuwa taarifa rasmi kutoka CAF zinaeleza Tanzania …