Makala nyingine

Mchezo kati ya Geita Gold na KMC umemalizika kwa kutoshana nguvu ya sare ya magoli 1-1 huku magoli hayo yakifungwa na Ntibazonkiza kwa wachimba dhahabu huku vijana wa Kino boys …

Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, George Mpole, ameibuka na kufunguka mengi makubwa yanayomuhusu mara baada ya kutoonekana kwa muda kikosini hapo. Hiyo ikiwa siku ni siku chache …

Straika wa Yanga Fiston Mayele amesema kuwa yeye hana tofauti yoyote na kiungo wa timu hiyo Stephen Azizi Ki kama ambavyo alikuwa anasikia baadhi ya minong’ono kwa baadhi ya mashabiki. …

Beki wa kati wa Yanga Dickson Job amefunguka kuwa kwa kuwa wamefanikiwa kutinga kutinga kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, watafanya makubwa na watakwenda mbali zaidi na …

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameweka wazi kuwa kulikuwa na sababu nyingi sana ambazo zilipelekea wao kupambana na kupata bao la ugenini na la ushindi wakiwa Tunisia na kuwatoa Club …

Ukweli ni kwamba huu siyo wakati mzuri ambao klabu ya Simba unapitia kwani imekutana na matokeo yasiyoridhisha na sasa wameingia kwenye mlundikano wa kuwakosa wachezaji wao muhimu kwa sababu mbalimbali. …

Mchezo wa ligi kuu kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Novemba 27 mwaka huu utapigwa kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi. Polisi Tanzania kwa msimu huu wametumia viwanja …

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amewapongeza Yanga kwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Shirikisho barani Afrika. Yanga walitinga katika hatua hiyo jana jumatano …

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwapa sapoti wachezaji na benchi la ufundi hata katika kipindi kigumu. Kaze amezungumza hayo baada ya timu hiyo kufanikiwa …

Nyota wa kikosi cha Yanga, Stephane Aziz Ki amewaomba mashabiki waendelee kuwapa sapoti na kuwaamini kwenye mchezo wa leo dhidi ya Club Africain. Mchezo huo wa marudiano wa kutafuta nafasi …

Uongozi wa Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) umewatakia Yanga ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Club Africain. Mwenyekiti wa DRFA, Lameck Nyambaya amesema wao wanawatakia …

Simba Queens wanatarajia kushuka dimbani kesho Jumatano kucheza mechi ya nusu fainali na mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita Mamelody Sundowns kutoka Kanda ya Cosafa na Afrika …

Kuanzia sasa Azam FC, ikiwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani katika michezo ya ligi kuu viingilio ni jezi zao za msimu wowote. Kikosi hicho kilichosheheni nyota wengi wa kimataifa pamoja …

Straika wa Azam FC Prince Dube ametatua mjadala wa goli lilipi lilikuwa bora, kati ya lile alilowafunga Yanga msimu juzi kwa shuti kali kipa akiwa Mkenya Faruk Waza Shikalo na …

Mchezaji wa timu ya Namungo Jacob Massawe amefunguka kuwa mipango yao kwa msimu huu ni kuhakikisha timu yao msimu huu inamaliza kwenye nafasi za juu. Namungo leo inashuka katika dimba …

Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba Queens, Charles Lukula amesema kuwa kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi atabadilisha kikosi cha kwanza. Simba Queens walifanikiwa kupata ushindi wa kwanza …

Kocha Mkuu wa Simba Queens, Charles Lukula ameahidi kuwa timu hiyo leo itaibuka na ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika. Simba bado hawajapata pointi yeyote hiyo …

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime amemshukuru kocha aliyepata wa timu hiyo, Francis Baraza kutokana na kuwajenga wachezaji. Mecky alikabidhiwa mikoba hiyo hivi karibuni baada ya kutimuliwa kwa Baraza …

1 2 3 4 5 13 14 15