Makala nyingine

Kiungo wa klabu ya Simba Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki. Nyota huyo ambaye alijiunga na …

Simba: Baada ya Kupoteza Mchezo wao wa kwanza kwa bao 1-0 wa hatua ya Makundi ya Ligi ya mabingwa ya wanawake, dhidi ya AS FAR ambao ni wenyeji wa mashindano …

Licha ya kupoteza mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya As FAR Rabat, Nahodha wa Simba Queens, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’ amesema wanaenda kupambana kwenye mchezo ujao. Simba …

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Bernard Morrison ambaye aliifungia timu yake goli la penati lililoipatia alama tatu muhimu dhidi ya Geita Gold kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza, ametolewa …

Kikosi cha Simba Queens kinatarajia kutupa karata yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi na wataanza kucheza na AS FAR na mashindano hayo yanaanza kesho kutwa …

Yanga wanatarajia kuivaa Geita Gold kesho, wachezaji watatu wamejereshwa kwenye kikosi cha Yanga ambao ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Joyce Lomalisa. Nyota hao hawakuonekana kwenye mchezo uliopita wa ligi …

KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC ambaye ni raia wa Zambia Clatous Chama amesema kuwa jana haikuwa siku nzuri kazini hivyo watarejea vizuri kama kawaida. Simba SC walipoteza mchezo wa jana …

TIMU ya Taifa ya wanaume ya U 23 ipo tayari kucheza dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria kwenye mchezo wa kufuzu AFCON ya vijana. TU 23 imesafiri mpaka Nigeria …

Baada ya Kufungiwa mechi tatu za Ligi Kuu , Mshambuliaji wa Yanga ambaye ni Raia wa Ghana Bernard Morrison hatimaye amemaliza kutumikia kifungo chake alichohukumiwa na bodi ya ligi baada …

Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba Queens, Charles Lukula ameahidi kuwa anaenda kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika kushindana na sio kushiriki. Lukula amesema Licha ya kuwa na muda …

Nahodha wa Simba Queens na mshambuliaji kinara wa timu hiyo Opah Clement amesema kuwa wanataka Kwenda kufanya makubwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake ikiwemo kuchukua kombe. …

KMC FC imetamba kuwa imejidandaa vyema kukutana na wapinzani wao Yanga kesho kwenye gemu ya Ligi ya NBC Tanzania. Klabu hiyo imebainisha kupitia msemaji wake kuwa wamejizatiti kukumbana na mtiti …

Kuelekea mchezo wa kesho jumatano dhidi ya Yanga, Kocha Msaidizi wa KMC, Ahmed Ally amesema kuwa mipango yao ni kupata pointi tatu au ikishindikana waipate moja. Mchezo huo wa ligi …

Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda, raia wa Serbia Milutin Micho ambaye aliwahi kuinoa Yanga miaka ya nyuma amefunguka kuwa kwa hapa Tanzania klabu na uongozi wa Yanga ni …

Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa sababu ya kuruhusu mabao ya kushambulia kwa kushtukiza ni mabeki wake kujisahau. Nabi aliongea hayo jana jumapili baada ya kumalizika kwa mchezo …

Kanoute Augua Ghafla!

BAADA ya kutoonekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga, kiungo wa Simba Sadio Kanoute, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema nyota huyo ni mgonjwa. Mchezo huo wa ligi …

Kikosi cha Simba Queens kinatarajia kuondoka kesho Jumanne kuelekea Morocco kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa wanaiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki na Kati. Hayo yalisemwa na meneja wa …

Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda, raia wa Serbia Milutin Micho ambaye aliwahi kuinoa Yanga miaka ya nyuma amefunguka kuwa mbali ya kuwa wachezaji wote wa Yanga walicheza vizuri …

MICHO: Jana wakati mchezo wa watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba ulipokuwa ukiendelea, ulishuhudia watu wengi kutoka nchi tofauti wakihudhuria uwanjani kushuhudia mchezo huo wa historia. Miongoni mwa watu …

1 2 3 4 5 6 13 14 15