MCHEZAJI wa Simba Agustine Okrah ambaye ni raia wa Ghana, ametumia mtandao wake wa kijamii kufafanua suala la yeye kushindwa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ya watani wa …
Makala nyingine
Mechi iliyokua inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania,Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kati ya Simba dhidi ya Yanga na mchezo huo ukishuhudiwa kumalizika kwa bao …
Kiungo wa klabu ya Simba raia wa Mali Sadio Kanoute atakosekana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa muda mchache kuanzia sasa katika dimba la …
Yanga Vs Simba: HATIMAYE imewadia ile siku iliyokuwa ikusubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka, Tanzania, Afrika Mashariki na Ukanda wa Kusini na kati, ni mchezo wa kukata na …
Ikiwa imebakia siku moja pekee kabla ya Simba na Yanga kucheza, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametamba kuwa katika maisha yake ya soka hajawahi kuiogopa timu yoyote huku akitamba …
Kariakoo Derby: Kuelekea mechi kubwa ambayo husimamisha nchi kwa dakika 90, na sio nchi tu bali kwa wapenda soka wote hawatasubiri kusimuliwa, mtoto hatumwi dukani muda huo. Makocha wa timu …
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said amesema kuwa wachezaji wake kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki, watakapovaana na Simba …
Klabu ya KMC FC ambayo ipo chini ya kocha mkuu Thiery Hitimana imepata ushindi wake Wa pili mfululizo baada ya kuitandika Azam FC kwa mabao 2-1. Kmc ndio waliotangulia kupachika …
Nyota wa klabu wa inayopatika kati ya mtaa wa twiga na jangwani wameajianda na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Simba, baadhi ya nyota wa kikosi cha Yanga wameahidi kupata …
BODI ya ligi kuu (TPBL) limeihamisha timu ya Kagera Sugar Jijini Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba baada ya uwanja wao kuwa na mapungufu. Kagera imeutumia uwanja wao wa Kaitaba …
Hatimaye mwamuzi wa mchezo wa ligi kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba ametangazwa rasmi leo ambaye ni Ramadhan Kayoko. Mchezo huo wa Dabi ya kariakoo utapigwa jumapili saa …
Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, amesema malengo ya kwanza yametimia ya kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, na sasa sasa anapiga hesabu za kufuzu robo …
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa hauna mpango wa kumfuta kazi Kocha Mkuu Nasreddine Nabi kwa kuwa bado wanamtambua kuwa ni kocha wa timu hiyo. Imekuwa ikielezwa kuwa kwa kushindwa …
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Moses Phiri ameahidi kufanya makubwea katika mchezo wa kariakoo derby kati ya klabu yake ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa siku ya jumapili.Phiri ambae hakuepo …
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Juma Mgunda amesema malengo yao kama timu ni kwenda kushinda mchezo wa derby siku ya jumapili Oktoba 23 utakaopigwa katika uwanja wa taifa Benjamin …
Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mo Dewji bado ameendelea kuiota ndoto ya kuiona klabu ya Simba ikibeba Ubingwa wa Afrika siku moja baada ya kufanya uwekezaji …
TAARIFA zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif ametimuliwa kutokana na matokeo mabaya ambayo yameiandama timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu.Polisi Tanzania ikiwa imecheza mechi sita tangu …
Baada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa ligi kuu msimu huu, Uongozi wa Ihefu umetamba kuwa bado mambo mazuri yataendelea kuja. Ihefu ilipata ushindi wa mabao …
Kikosi cha Pan African baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Transit Camp kimeanza maandalizi yake kuelekea kwenye mchezo ujao wa ligi ya Championship dhidi ya Pamba. Mchezo …
Mastaa wa klabu ya Yanga wameweka wazi kuwa mara baada ya kutolewa katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa msimu huu sasa mipango yao ni kuhakikisha kuwa waafanya …