Baada ya kukaa St. Mary’s kwa mkataba wa mkopo kwa msimu mmoja akitokea Everton, Theo Walcott kubaki Southampton kwa mkataba wa miaka miwili.

Walcott anamaliza mkataba wake na Everton mwezi Juni mwaka huu na hivyo anajiunga na Southampton kama mchezaji huru.

Theo Walcott, Theo Walcott Kusalia St Mary’s Mpaka 2023., Meridianbet
Walcott alipokuwa Everton.

Mkataba mpya na Southampton, utambakiza Walcott klabuni hapo mpaka 2023 na huu unakuwa ni usajili wa kwanza wa klabu hiyo kuelekea kwenye usajili wa dirisha kubwa, Juni 9, 2021.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

Theo Walcott, Theo Walcott Kusalia St Mary’s Mpaka 2023., MeridianbetBASHIRI SASA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa