Tiger Woods atayakosa shindano la Masters 2021, linalofanyika kati ya Aprili 8–11, 2021 ikiwa ni kumbukizi ya miaka 20 ya ushindi wake wa “Tiger Slam” pale Augusta National.

Woods, bado anajiuguza nyumbani kwake Florida kufuatia ajali mbaya ya gali aliyohusika nayo, ambayo gari iliripotiwa kuacha barabara na kupinduka mara kadhaa huko Calfonia mwezi Februari.

Masaa kadhaa yalihitajika kwa ajili ya kukamilisha upasuaji wake wa kumtibu mguu wake wa kulia na enka, pamoja na majeraha mengine mwilini mwake.

Tiger Woods

Woods, ambaye ushindi wake wa Masters wa hivi karibuni ulikuwa ni wa 2019, alikuwa mcheza gofu wa kwanza Mwafrika kuweka rekodi ya kuunasa ushindi huo mwaka 1997.

Alhamisi, Masters wanatarajia kutoa heshima ya kumuenzi muafrika wa kwanza aliyevuka kikwazo cha ubaguzi wa rangi, na kuwa mtu mweusi wa kwanza kushiriki Masters anayefahamika kama Lee Elder, na baadaye kufuatiwa na wengine ack Nicklaus na Gary Player

Akimzungumzia Lee, Woods anasema:

“Lee alikuwa mwanzilishi, ndiye pekee aliyeweza kuruka kiunzi cha kuwa mtu mweusi na kutengeneza njia kwa wachezaji wengine weusi kama mimi.”


 

UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Woods, Tiger Woods Kuikosa Masters 2021, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa