Wakati dunia nzima ikitangaza kusitisha michezo ya aina zote kutokana na janga la korona, UFC wakapitia kipindi cha kuwa ndio watu wa kwanza kuendesha Pambano kubwa la kimataifa lililo fanyika Alfajili ya kuamkia juma pili walilolipo jina la UFC 249 lililo fanyika Jackvile Florida nchini marekani.

Kazi ya kulitangaza na kulifanikisha pambano hilo haikua ndogo kutokana na hali ilivyo kwa sasa na ukingingatia pambano hilo lilitakiwa kufanyika bila mashabiki, ila mwisho wa siku zoezi hilo lilifanikiwa na ni lazima kusema kua lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa mno na limekua pambano halitaweza kudahau lika kwa urahisi.

Mpambano huo ulipangwa kufanyika mwezi wa nne tarehe 18 huko Brooklyn, na lilikua na kila kitu ambalo shabiki yoyote angetamani kuona kwenye pambano hilo. Tumeona mpambano mzuri sana ambako bingwa mpya wa uzito wa kati alifanya makubwa ndani ya dakika 25 tu za pambano hilo.

Pambano hilo lilisha kwa Justine Gaethje kumtwanga Ferguson kwa knock out, kitu ambacho Ferguson hakutegemea kwa maana watarajio ya wengi ilikua Justine Gaethje kupigwa tena kwa round za mapema sana au angekutwa na K.O kutoka kwa Ferguson, Badala yake amewaziba midomo watu walio amini angepokea kichappo.

44 MAONI

  1. furguson alitamba na kujiamini sana alisahau kama kila mmoja kajiandaa kakipata alichostahili maana Justine najua anachokifanya kwa upande mwingine Justin kupitia meridianbet wamevuna mpunga

  2. Mpambono ulikuwa mzuri na wakusisimua anacho takiwa ni kuwa makini katika mpambano ametuangusha mashabiki zake

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa