Kulingana na jarida la MailOnline, mnamo Februari Klabu ya Tottenham iliulizia masharti yanayotakiwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland.

Lakini walishindwa kutokana na malipo yake ya mshahara inaaminika kuwa angalau Pauni 350,000 kwa wiki.

Tottenham wameanza kutafuta mbadala wa Kane, 27 huku mshambuliaji wa Machester City, Gabriel Jesus na Anthony Martial wa United wakitajwa katika orodha hiyo.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Ingawa mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy hataki kumuuza mchezaji huyo kwa kwa vilabu viwili vya Manchester, wachezaji hao wanaweza kuwa sehemu ya mpango huo.

Barcelona na Real Madrid zote zinavutiwa na huduma za mchezaji huyo wa kimataifa wa England lakini janga la coronavirus limepunguza fedha za vilabu huko Uhispania na kupata shida kufadhili uhamisho huo.

Tottenham wametoa taarifa yao kujibu ombi la Kane la kuondoka baada ya kuwasilisha ombi hilo mapema mwezi huu.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

tottenham, Tottenham : Kane Sokoni, Halland White Hart Lane., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa