Meneja wa Chelsea, Thomas Tuchel amelazimika kumuondoa mazoezini na kumrudisha nyumbani beki wake Antonio Rudiger jana Jumapili, baada ya kutaka kupigana na kipa Kepa Arrizabalaga.

Ugomvi huo umekuja baada ya Rudiger kumchezea golikipa huyo rafu mbaya ambayo ilimfanya kupaniki na kumvamia beki huyo.

 

tuchel, Tuchel Amuondoa Rudiger Mazoezini., Meridianbet

Tuchel aliamua kumrudisha Rudiger nyumbani ili kutuliza hali ya hewa katika mazoezi ya jumapili, inasemekana beki huyo alitambua kosa lake na kuomba msamaha kwa kipa huyo.

Tuchel hana muda wa kupoteza akiwa anajiandaa kuelekea mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Porto na kesi hiyo imekwisha fungwa.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

tuchel, Tuchel Amuondoa Rudiger Mazoezini., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa