Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel anapingana na mabadiliko ya Champions League, ambayo yatafanya vilabu vicheze michezo mingi zaidi katika hatua ya makundi.

Tuchel Hajafurahishwa na Mabadiliko ya UEFA

The Blues wanajiandaa kukamilisha mchezo wa 58 au 59 kwa msimu huu na inatarajiwa michezo kuongezeka michezo minne zaidi katika hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa kuanzia mwaka 2024.

Pamoja na mapendekezo ya UEFA ya Ligi ya Mataifa na mapendekezo mapya ya Mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu Bingwa, Tuchel anaamini kuwa wachezaji katika vilabu bora wanasukumwa kupita kiwango chao cha mwili.

“Tuna Ligi ya Mataifa, ubingwa mpya kwa vilabu, vitu vingi zaidi na michezo mingi zaidi, Mashindano ya Ulaya msimu wa joto, ni michezo zaidi na zaidi. Nani anapaswa kucheza michezo hii?

Kabla ya mchezo wa Jumanne dhidi ya Madrid, Tuchel anafurahi kuwa sio Chelsea wala Blancos waliwekwa nje ya mashindano ya msimu huu kama adhabu.

“Tunastahili kuwa kwenye nusu fainali kama Real Madrid,” akaongeza. “Hatustahili kwa sababu ya maamuzi ya kisiasa, au ushawishi, au saizi au jezi nzuri; tunastahili kwa sababu tumetoka mbali.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa